rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Sio kweli mpaka sasa hivi huwezi kujiunga bando tamtam. Sidhani kamanajua madhara ya kusema uongo kwenye biasharaHeri ya sikukuu ya Pasaka Piga *148*30# au*150*71# au *148*30*35# ufurahie vifurushi vya DATA, SMS, UNI na BANDO TAM TAM vilivyoboreshwa kama ilivyokuwa awali
Vifurushi vyote vimerejea tangu jana. Samahani kwa changamoto zilizotokea.
#RudiNyumbaniKumenoga
View attachment 1743058