TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Jana kuanzia saa3 hadi usiku mnene hawakuwa na internet kabisa.asubuhi imerudi lakin bado ni 3G.

TTCL badilikeni bwana mnaboa,sio mpaka magufuli aje atumbue.

Jiwe nae kama anatumia TTCL naamini anaona huu uozo.

Sent using Jamii Forums mobile app
dah! nilifikiri peke yangu ndio nimekutana na kadhia hiyo...... hata mida ya mchana huduma yao ilikuwa inapotea.

namshukuru Mungu jana usiku sikujiunga na kifurushi chenye mgawanyo wa muda kama bandika bandua (huenda ningelikata laini kwa hasira).

Baharia Wa Buza tunaomba utufikishie malalamiko yetu huko makao makuu, wewe pekee ndiye unayesikilizwa🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
nilinunua 4G USB DONGLE ya TTCL sikufanikiwa kuitumia hata mara moja pamoja na kujaribu kuitumia katika vifaa tofauti tofauti haijawahi kunipa ushirikiano!nilipo waendea wahusika wakadai kifaa changu hakiko sawa licha ya kuwaeleza kuwa nimejaribu kutumia kwenye vifaa vingine bila mafanikio bado haikusaidia kitu.
 
Mnatafuta nini huko mashenzini?
 
ucwaxe
 
Hapo uliposema unajiongeza, kama ttcl ndio falsafa yao ktk utoaji huduma naweza kusema ndio mtandao wa hovyo kabisa na hautatoboa kibiashara.

.
 
Jana usiku nimejaribu kustream na ttcl 4G hakuna chochote. Niliwasha data na ikasoma 4G ila kwenye data traffic ikabaki 0 kb/s mwanzo mwisho.


Nini shida TTCL? Au nyumbani kumegeuka kuchungu?

Sent using Soviet T-72 Main Battle Tank
 
Alhamisi nimefika makao makuu nikataka wanisajilie Special namba,,wakanambia anaehusika na kutengeneza special namba kaenda likizo hadi 20/04/ ndo atakuwa ofisini,,nikawaambia nataka huduma ya TPESA niwe wakala wakanambia nitoe leseni,tin,id nikawapa ajabu wakanambia mkataba wa kujaza umewaishia nikawauliza ina maama kwenye computer zenu hakuna copy wakanambia hakuna mpaka sijui baada ya Pasaka maana pia hswana RIM PAPER

hapo ni makao makuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Posta au
 
Mtandao unaowajali wateja.
Mtandao wa Nyumbani.
Upo tayari kupata hasara kwa sabb ya wateja wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…