TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Hi
Hivi ttcl inapatikana leo, tangu saa 2 asubuhi niko njiani from moro hadi arusha hakuna coverage kbs
 
TTCL mnirudishie buku yangu niliyojiunga bando la tam tam plus tangu nijiunge hakuna 3g ni majanga tu
 
Tafadhari mnaweza kunieelezea ni kwa nini hizi sms zinakuja kila baada sekunde 5
 
mkirudsha vifurush,rudishen na network. yan internet yenu Ttcl iko slow sana.
 
TTCL bado mnafanya kazi kizamani Sana kwenye swala la masoko mnatumia mda mwingi kukaa ofisini baadala kwenda kuangalia soko linahitaji nini na kwakati gani mameneja wenu wala hawajui wajibu wao walioko mikoani nini wanatakiwa kufanya wamekalia wakalia majungu na majigambo oh MI niko siku nyingi TTCL nna PF utumishi wa kizamani amekaa anajisifia sokoni vocha Hakuna Sokon kwa ukifika mwisho analipwa mshahara majigambo yamedizi sana kwa watumishi TTCL yamezidi utadhani wanahisa kumbe watumishi kawaida

Ushauri tu kwa kindamba pamoja na bodi ya TTCL pamoja na waziri umefika wakati sasa mbadilishe sera inayotumika sasa ambayo Mimi naiona kama kandamizi kwa shirika kusonga mbele (policy Mpya) kwa ustawi itahitajika sana kuliko wakati mwingine wowote na kuwandoa wazee waliopo ttcl ambao wanamitazamo ya miaka ya1947 huko
 
Wakiondolewa hao wazee, nani atazilisha familia zao?
 
Wafanye wenye uwezo uwezo kiutendaji sio kupiga majungu halio wengi hawfaidiki na shirika hili kihuduma huduma nyingi na promotion zimekuwa zikinadiwa mtandaon tu walioko vijiji watapateje huduma pasipo kwenda uko unataka wafanye kazi Marsha?
Kazi zenyewe za kurithishana.
Unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…