TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Yes kwa Dar ni hapo.Nko dsm ...Au niende pale hq karibu na ubaloz wa U.S.A
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes kwa Dar ni hapo.Nko dsm ...Au niende pale hq karibu na ubaloz wa U.S.A
Karibu sana.
#RudiNyumbaniKumenoga
mkirudsha vifurush,rudishen na network. yan internet yenu Ttcl iko slow sana.Heri ya sikukuu ya Pasaka Piga *148*30# au*150*71# au *148*30*35# ufurahie vifurushi vya DATA, SMS, UNI na BANDO TAM TAM vilivyoboreshwa kama ilivyokuwa awali
Vifurushi vyote vimerejea tangu jana. Samahani kwa changamoto zilizotokea.
#RudiNyumbaniKumenoga
View attachment 1743058
Wakiondolewa hao wazee, nani atazilisha familia zao?TTCL bado mnafanya kazi kizamani Sana kwenye swala la masoko mnatumia mda mwingi kukaa ofisini baadala kwenda kuangalia soko linahitaji nini na kwakati gani mameneja wenu wala hawajui wajibu wao walioko mikoani nini wanatakiwa kufanya wamekalia wakalia majungu na majigambo oh MI niko siku nyingi TTCL nna PF utumishi wa kizamani amekaa anajisifia sokoni vocha Hakuna Sokon kwa ukifika mwisho analipwa mshahara majigambo yamedizi sana kwa watumishi TTCL yamezidi utadhani wanahisa kumbe watumishi kawaida
Ushauri tu kwa kindamba pamoja na bodi ya TTCL pamoja na waziri umefika wakati sasa mbadilishe sera inayotumika sasa ambayo Mimi naiona kama kandamizi kwa shirika kusonga mbele (policy Mpya) kwa ustawi itahitajika sana kuliko wakati mwingine wowote na kuwandoa wazee waliopo ttcl ambao wanamitazamo ya miaka ya1947 huko
Wafanye wenye uwezo uwezo kiutendaji sio kupiga majungu halio wengi hawfaidiki na shirika hili kihuduma huduma nyingi na promotion zimekuwa zikinadiwa mtandaon tu walioko vijiji watapateje huduma pasipo kwenda uko unataka wafanye kazi Marsha?Wakiondolewa hao wazee, nani atazilisha familia zao?
Kazi zenyewe za kurithishana.Wafanye wenye uwezo uwezo kiutendaji sio kupiga majungu halio wengi hawfaidiki na shirika hili kihuduma huduma nyingi na promotion zimekuwa zikinadiwa mtandaon tu walioko vijiji watapateje huduma pasipo kwenda uko unataka wafanye kazi Marsha?
Speed ya internet ipoje,sije ukawasha data hata picha haifunguki.
Speed ya internet ipoje,sije ukawasha data hata picha haifunguki.
mkuu umesema kwa maachungu sana.Mkuu ebu lifafanue vema bando hili