TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Nyie watu mtamaliza watu na Corona, mikusanyiko sasa hivi siyo salama
 
LALAMIKO: Upande wa kutuma jumbe fupi (SMS) bado kuna tatizo. HAZIFIKI KABISA AU ZIKIFIKA HAZIFIKI KWA WAKATI. Mnakwama wapi?
 
Kwema wandugu,,,,,leo kilio changu nawapelekea TTCL kitengo cha vocha,, tunawaomba m boreshe vocha zenu hasa upande wa kukwangua namba zinafutika haraka sana ili tupunguze kelele ambazo sio za lazima na wateja.
 
Kwema wandugu,,,,,leo kilio changu nawapelekea TTCL kitengo cha vocha,, tunawaomba m boreshe vocha zenu hasa upande wa kukwangua namba zinafutika haraka sana.....ili tupunguze kelele ambazo sio za lazima na wateja.
Upo sahihi hata mimi ninazo hapa nimekula hasara kukwangua kidogo tuu namba zinafutika.. Sijui cha kufanya. Hasa za sh. 1000.. Ila za 2000 zipo vizuri.
 
Upo sahihi hata mimi ninazo hapa nimekula hasara kukwangua kidogo tuu namba zinafutika.. Sijui cha kufanya. Hasa za sh. 1000.. Ila za 2000 zipo vizuri.
C wapo humu waje watupe majibu.
 
Kwema wandugu,,,,,leo kilio changu nawapelekea TTCL kitengo cha vocha,, tunawaomba m boreshe vocha zenu hasa upande wa kukwangua namba zinafutika haraka sana.....ili tupunguze kelele ambazo sio za lazima na wateja.
Mbaya sana, huduma zao hazipo kwenye mashine za miamala POS. Poleni sana
 
SALE! SALE! SALE!!
NEW SAMSUNG GALAXY
S8........480,000
S8+......560,000
S9........560,000
S9+......670,000
S10+ 128GB..970,000
NOTE 8..........600,000
NOTE 9 128GB.770,000
NOTE 10....1.1M
NOTE10+ 256GB..1.3M
CALL/TEXT 0621940104 https://t.co/7zVjHhBXMV
 
Yaani nilikua nawaaminia ila sasa basi yaani katika suala la customer service mpo nyuma sana naweza sema nyinyi ni matapeli mlojawa ukatili wa hali ya juu, vocha zenu pia zina viwango vya chini mno, yaani unakwangua namba hazionekani then mnapgiwa hamtoi msaada, nawafuata ofisini pia mnashindwa kunisaidia mnasema mtanipgia cmu. Hadi sasa ni week hamna simu wala sms na hii inaenda ni week 2 tokea nimeanza kuimba msaada wa voucher yangu lakn hamtak kunisaidia, hamjui tu ni kwasababu gn nilinunua voucher. Mimi nitamshtakia tu mungu muweza wa yote nyinyi simnataka kunidhurumu 2000 yangu, Inshaallah mungu atanilipia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…