TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Nitumie majibu yafuatayo PM kwangu

1. Sehemu unayotaka kufungiwa hiyo huduma.

2. Namba yako ya simu.
 
Internet ya Fiber kupitia mfumo wa TANESCO, Arusha mnaanza lini jamani?

Nitumie majibu yafuatayo PM kwangu.

1. Sehemu unayotaka kufungiwa hiyo huduma.

2. Namba yako ya simu ambayo ipo hewani muda wote.
 
Vifaaa, Vinaingia lini mje mtufungie huduma, maana ni muda mrefu tumekaa tunawasubiri.

Nitumie majibu yafuatayo PM kwangu.

1. Sehemu unayotaka kufungiwa hiyo huduma.

2. Namba yako ya simu ambayo ipo hewani muda wote.
 
Makampuni karibu yote yamesha hama kwenye 2G. TTCL bado wapo 2G. Boresheni huduma zenu vizuri. Kwa sasa Voda wameanza na 5G. Sijui TTCL yetu tutahamia lini kwenye 3G.
,,
 
Hivi wanaweza kutusaidia nimetumiwa line ili niiswap baada ya line yangu kuharibika naona inamsumbua Kwa madai haoni code number je afanyeje?
 
I've the same dream...

Binafsi nilifuatilia sana hizo Fiber Internet hadi nikachoka nikaamua kujiunga na Tigo Postpaid Business Package!!

Na angalau wakati ule ilikuwa 80GB for 60K ingawaje sasa nasikia unapata 60GB for 60K but still NAFUU SANA ukilinganisha na hizi daily/weekly bundles.
 
Alo niko moro mwezi wa nne huu nasubiria surveyor aje akague nifungiwe fibre ghetto kwangu
 
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu
  1. Kwanini vocha zenu zinapatikana dukani kwenu tu na mtaani zinapatikana kwa nadra sana?
  2. Kwani customer care yenu ipo inferior sana ukiwapigia customer care baada ya saa za kazi hawapokei simu, wakipokea wanakuambia tupigie kesho
 
Nina kumbukumbu mbaya sana na huduma za TTCL. Huduma mbovu sijawahi kuona yaani ilibidi nicheke badala ya kusikitika. Okay ilikuwa mwaka mmoja uliopita. Siku hizi wamebadilika? Maana nataka wanieletee home internet.
 
  1. Kwanini vocha zenu zinapatikana dukani kwenu tu na mtaani zinapatikana kwa nadra sana?
  2. Kwani customer care yenu ipo inferior sana ukiwapigia customer care baada ya saa za kazi hawapokei simu, wakipokea wanakuambia tupigie kesho

Ah! [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…