Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Kiongozi, hivi hizi huduma za Fiber Internet ni hadi uombee HQ (Extelcom) au hata kwenye hizi zonal office like TTCL Nyerere Rd! Nauliza kwa sababu pale HQ nimeshakosa imani napo manake haiwezekani mtu unajaza fomu kisha wanadai watatuma mtu na mtu hatokei hata baada ya kufanya follow-up! Wale wa Nyerere Rd kama hawajabadilika, zamani walikuwa fasta sana!! Mara mbili walishanipa huduma kwa kuja home within 24 hours!! Labda kwavile wana-deal sana na business community, na wao wame- adapt ile culture.
Nitumie majibu yafuatayo PM kwangu
1. Sehemu unayotaka kufungiwa hiyo huduma.
2. Namba yako ya simu.