James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
Mtandao upo ovyo usijaribu kununua kabisaJe, napataje modem za mtandao wa TTCL, na nazipata kwa bei ya shingapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtandao upo ovyo usijaribu kununua kabisaJe, napataje modem za mtandao wa TTCL, na nazipata kwa bei ya shingapi?
Pole sana, Mimi ni zaid ya mwaka Sasa niliomba connection hata ya wireless, sijawahi hata kupigiwa Simu, Nashauri Serikali ibinafsishe TTCLMoja la shirika la kingeresema sana
Wapo vizuri wapi?Naenjoy huduma zenu tangia 2019 mwanzoni, vifurushi vyenu havina mpinzani, japo vocha zenu adimu kiasi, lakini huwa naweka hela kwenye T-PESA na kununua vocha kidogo kidogo.
Ushauri: endeleeni kuboresha na kujitangaza, mko vizuri.
Wako vizuri sana kwenye huduma ya fiberWapo vizuri wapi?
Pamejaa rushwa tupuPole sana, Mimi ni zaid ya mwaka Sasa niliomba connection hata ya wireless, sijawahi hata kupigiwa Simu, Nashauri Serikali ibinafsishe TTCL
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Na hizo kila ofisi wafanyakazi wapowapo tu wanasubir mishahara mwisho wa mwezi.
Kuna ofisi ipo Ifakara huko nilienda ili kuangalia huduma ya Faiba nifunge maskani, nafika pale naulizia wanasema huduma haijafika hapa. Nikabaki nashangaa
Mnatumiwa na mabeberu. TTCL ni shirika mama. Shirika dume. Huduma zake ni za kutukuka.Moja la shirika la kingeresema sana
Huduma mbovu ipi uliyoipata?Ajabu sana na watu wanalipwa mishahara kwa kutofanya kazi mpka unajiuliza huyo mkurugenzi anafanya kazi gani ofisini au ndio yupo kwaajili ya kuhudhuria makongamano na warsha maana ieleweke kama taasisi unaiongoza halafu haitoi huduma ipasavyo huduma mbovu wewe kiongozi ndio unakuwa mwenye tatizo. Kipindi kile wamekuja na msemo who rudi nyumbani kumenoga huduma zao zilikuwa zimeanza kuimarika naona kwa sasa wamerejea kwenyen uzembe wao wa kawaida waliokuwa wameuzoea hapo kale. Fursa ya kusambaza fiber majumbani/maofisini mwa watu wanayo kubwa lakini hawaitumii.
Ushawahi kutumia au kupata ushuhuda wa mtu aliyetumia FAIBA MLANGONI KWAKO?Wapo vizuri wapi?
Achana na ishu ya Faiba twende kwenyeUshawahi kutumia au kupata ushuhuda wa mtu aliyetumia FAIBA MLANGONI KWAKO?
Achana na ishu ya Faiba twende kwenye
1- Huduma ya wateja wapowapo tu
2- Vifurushi huu ni ni mwaka wa 5 havibadiliki tu, ukiachana na Bufee ni kifurushi gani kingine cha ubunifu mlichozindua?
3_ ushawahi fanya malipo kupitia T Pesa na ikakubali wewe?
4_ tpesa miamalaa ikikwama tu hewani siku ya ijumaa kutatuliwa tatizo mpaka muamue wenyewe
5_ ushawahi kukwangua vocha bahati mbaya kisha uwasiliane na mtoa huduma kupata msaada ni mpaka Yesu arudi.
6. Vocha zenyewe hazipatikan mtaan
7_
That was long long time ago comrade. Wahuni wameimaliza, nishapoteza na line yao.Wapo vizuri wapi?
Siku hizi huwezi kujiunga bando hata kama una salio nakwambia.That was long long time ago comrade. Wahuni wameimaliza, nishapoteza na line yao.
Jibu maswali yaliyobakiaView attachment 2720627
Kuhusu Vocha, TTCL Corporation imetambua matatizo hayo ya upatikanaji wa Vocha za kukwangua. Kwa maana hiyo TTCL imewarahisishia wateja wake namna ya kupata Vocha. Tumia njia hii kupata vocha wakati wowote na mahali popote unapokosa vocha za kukwangua.
View attachment 2720629
View attachment 2720631
View attachment 2720633
View attachment 2720636
JPM amekufa na spirit ya kuona kuwa tunaweza imekufa. Kwasasa sisi hakuna tunachoweza.Siku hizi huwezi kujiunga bando hata kama una salio nakwambia.
Mkurugenzi wa TTCL wa sasa Bwana Ulanga anasema waachane na masuala ya mobile na wajikite zaidi kwenye Fiber pekee.
Hiyo ndo kipaumbele chao cha siku hizi
Unatetea ujinga.hakuna shirika hapo.Mnatumiwa na mabeberu. TTCL ni shirika mama. Shirika dume. Huduma zake ni za kutukuka.
😂😂😂😂hongera kwa kuliona hilo boss. Wanaboa kisenge ile TTCL Customer Care yao ya Whatsapp ipo ovyo kingese.Huduma ya fiber ni uzushi tu
Miaka miwili najazishwa fomu tu hakuna lolote mlilofanya.
Customer Care yenu ni mbovu mtu kajaza fomu takribani mwezi unaambiwa rudi nyumbani utapigiwa simu ja surveyor.
Siku unapigiwa simu unamsikia surveyor anauliza "enhee ulisema upo kariakoo mtaa gani?"
Wakati kwenye fomu umejaza eneo tofauti na Kariakoo na then fomu imewekwa option ya kuchora ramani kutoka ofisi za TTCL hadi eneo unapoishi ili kumsaidia Surveyor aweze kufikia kwa urahisi.
Lakini bado fomu meandika Sinza, surveyor anaulizia mitaa ya Kariakoo.
Haya baada ya hapo unamfahamusha juwa wewe haupo eneo hilo hivyo aje eneo sahihi, anakuqmbia nioo tena ofisini ujaze fomu.
Sasa huo ni utoto mnatufanya watu tuonekane mambwiga.
Kuna ile namba yenu ya Whatsapp napo nimejaribu kufanya mazungumzo na nyie bado ushirikiano umekuwa zero.
Lumumba haoUnatetea ujinga.hakuna shirika hapo.