TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL wanaweza kuwa na mapungufu mengi ila kwenye huduma ya FIBER jamaa wako vizuri mno mno mno. Bei za vifurushi ni nafuu sana na speed so mchezo aisee. Kwenye huduma nyinginezo siwezi kuzungumzia ila kwenye FIBER tuwape maua yao.
 
Nimehangaika na internet yenu nyumbani mbezi beach sijapata msaada wote wa maana na nikaweka 50k ya kulipia hadi keo sijapata huduma ninepiga masimu we hadi nimechoka , nyie bado sana
 
Asee kwa hili TTCL wanazingua sana imagine mm nakaa tabata round about mandela road , nmefungiwa fiber since 6 months Ago, yani tangu nmeekewa mpka leo haifanyi kazi eti server imejaa kwahyo hakuna sehem ya kuweka wateja wapya??? Wtf??,, 4 months nmehangaika na ma surveryor, mpka mmekuja kuweka kwa mbinde yani kuni connect tu nilipie huduma mnashindwa????? Kweli shirika linahitaji mtu mpya ss
 
Are
TTCL wanaweza kuwa na mapungufu mengi ila kwenye huduma ya FIBER jamaa wako vizuri mno mno mno. Bei za vifurushi ni nafuu sana na speed so mchezo aisee. Kwenye huduma nyinginezo siwezi kuzungumzia ila kwenye FIBER tuwape maua yao.

Wanakulitafuta mwanakulipata
 
Are



Wanakulitafuta mwanakulipata
Kwangu mimi Fiber inapiga kazi na speed inanipa thamani ya ninacholipia. Huyo jamaa issue yake ni kutokuunganishiwa huduma na si ubovu wa mtandao. Na huo ndo ukweli, ttcl wako slow sana kutanua soko lao...ukijaza form ukakaa home bila kufatilia inaweza kuchukua zaidi ya mwaka kupata huduma au unaweza kuletewa nyaya mpaka ndani lkn usiungiwe huduma! Binafsi nikizungumzia quality ya fiber baada ya kuungiwa ni nzuri mno.
 
Mimi ni nani nikupinge?
 
Nimekaa miezi sita ndiyo wakuja kufunga wiki iliyopita
 
TTCL mmelalia pesa
Huo mkongo mngeeda tu Bank hata hizi za ndani zenye riba kubwa mchukue kama Bilioni 100 msambazie watu mtandao. Mkimpata wateja 300,000 kwa uchache wanaolipa; hiyo hela mnaweza kuirudisha ndani ya takribani miaka miwili ikiwa ni pamoja na Riba yao. Hapo ndipo private Sector wanapo washinda...
 

We jamaa unataka report ya CAG ije iseme nini baada ya hiyo miaka miwili. [emoji23]
 
Nilijiunga nmb mkononi kwa kupiga *150*66# kwa line ya ttcl wakajibu "wanafanyia kazi "mpaka leo sijajiunga πŸ˜…πŸ˜… kila nikipiga najibiwa hivyo
 
Hivi TTCL, kwa nini kila tukienda kuomba kufungiwa Fiber nyumbani tunaambiwa mtaa uliopo umejaa hadi waje kufunga control box nyingine. Ina maana hakuna initiative zozote maana mnapoteza wateja
Wanalipwa mafao na posho za kutosha, wafunge wasifunge hao ni makada wa chama na wanateuliwa kutoka kwenye chama hasa nafasi za juu.
Wapo comfort zone.
 
Kwanini umeme ukikatika mnakata na nyie network yenu baada ya muda ndo inarudi?! Pia umeme ukirudi mnachelewa kurejesha mtandao!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…