Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Siyo asubuhi tu, pia hata jioni kujiunga na internet ya TTCL ni changamoto.True Aisee, alafu kuanzia asubuhi net yao haiku bali kujiunga vifurushi kwa T pesa, wanaturudisha nyuma sana hawajui tuu, nadhani committee ya customer service iji tathmini upya, na huko kuongeza bei nadhani wajipe mda wa kuwaza mara 2, japo hatulazimishwi kutumia mtandao wa TTCL ila "it's not okay".
Siyo asubuhi tu, pia hata jioni kujiunga na internet ya TTCL ni changamoto.
Pesa uliyotaka kujiunga kifurushi inaweza ikarudishw baada ya siku 2 au 3!
Bora nirudi Airtel.
Mitandao yote hovyo tu bora kidogo halotelHiki kifurushi mliweka kwa majaribio? Leo sikipati
Well well!Wa narudisha nyuma sana juhudi za Mhe. Raisi wa Muungano wa TanzaniaJohn Pombe Magufuli katika kuifufua TTCL, hauwezi kwenda na shirika la Taifa kwa gear hii aisee, Kilio chetu kwa wahusika Board ya wajumbe wa TTCL "Tumechoka"
Umewasiliana na huduma ya wateja?Siyo asubuhi tu, pia hata jioni kujiunga na internet ya TTCL ni changamoto.
Pesa uliyotaka kujiunga kifurushi inaweza ikarudishw baada ya siku 2 au 3!
Bora nirudi Airtel.
Acha utani,wewe si ulirekebishiwa kama wiki 3 zilizopita ulikuwa unalalamika.Hiki kifurushi mliweka kwa majaribio? Leo sikipati
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]lini nimesema nafanya kazi TTCL?
Kwenye msiba?Fedha zilizoko T pesa zimeelekezwa kwenye matumizi mengine
wamekiondosha... na bandika Bandua wamebadili time...Acha utani,wewe si ulirekebishiwa kama wiki 3 zilizopita ulikuwa unalalamika.
Tatizo limekurudia tena?
Jamaa wamechezea Menu nzima aisee... Nmelala kwenye Menu yao npate kifurushi cha kutumia sioni. Sijui nani kwashauri utumbo. Kwa hali hii naeza enda futa hata huo usajili waoMitandao yote hovyo tu bora kidogo halotel
Noma sanaWapendwa ttcl.
Hii nchi ni yetu sote na ninyi ni shirika letu la umma,
Sijaona haja ya kuwaumiza Watanganyika wenzio
kwa kupandisha bei ya vifurushi vya data
kama vile wewe siyo Mtanganyika.
Naamini kabisa wewe uliyetoa wazo hilo basi
unatumika na makampuni ya mabeberu kuiua ttcl.
Hunishawishi kabisa na shirika linaenda
kukimbiwa na wateja wengi wazalendo.
Shukrani sana
Dah so sadJamaa wamechezea Menu nzima aisee... Nmelala kwenye Menu yao npate kifurushi cha kutumia sioni. Sijui nani kwashauri utumbo. Kwa hali hii naeza enda futa hata huo usajili wao