TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

True Aisee, alafu kuanzia asubuhi net yao haiku bali kujiunga vifurushi kwa T pesa, wanaturudisha nyuma sana hawajui tuu, nadhani committee ya customer service iji tathmini upya, na huko kuongeza bei nadhani wajipe mda wa kuwaza mara 2, japo hatulazimishwi kutumia mtandao wa TTCL ila "it's not okay".
Siyo asubuhi tu, pia hata jioni kujiunga na internet ya TTCL ni changamoto.
Pesa uliyotaka kujiunga kifurushi inaweza ikarudishw baada ya siku 2 au 3!
Bora nirudi Airtel.
 
Wa narudisha nyuma sana juhudi za Mhe. Raisi wa Muungano wa TanzaniaJohn Pombe Magufuli katika kuifufua TTCL, hauwezi kwenda na shirika la Taifa kwa gear hii aisee, Kilio chetu kwa wahusika Board ya wajumbe wa TTCL "Tumechoka"

Well well!
 
Siyo asubuhi tu, pia hata jioni kujiunga na internet ya TTCL ni changamoto.
Pesa uliyotaka kujiunga kifurushi inaweza ikarudishw baada ya siku 2 au 3!
Bora nirudi Airtel.
Umewasiliana na huduma ya wateja?
Wacheki WhatsApp kwa namba 0738151511
 
Kwanza wamebadilisha vifurushi.

Pili kila ukipiga *150*71# kwa ajili ya huduma ya T PESA inakataa.

Kama kuna tatizo mtujulishage mapema.
 
Noted

Seen

Hizo ni jumbe zako kwa kila anayetoa malalamiko kwa ttcl. Nikadhan unafanya kazi huko kumbe kajamba nani flani.
 
Hawa jamaa siku hizi wamekuwa wasanii kwelikweli natumia internet yao inawasha H+ lakini inaload hadi inaboa kiufupi kwenye internet hawako vizuri japo bando ni cheap kulinganisha na mitandao rafiki.
 
Watu mnamambo ya ajabu kweli hivi unawezaje kuweka hela huko? Ungekuwa karibu yangu ningekupa kibao kimoja tuu, hivi hujaona mitandao mingine? Ety
 
Mitandao yote hovyo tu bora kidogo halotel
Jamaa wamechezea Menu nzima aisee... Nmelala kwenye Menu yao npate kifurushi cha kutumia sioni. Sijui nani kwashauri utumbo. Kwa hali hii naeza enda futa hata huo usajili wao
 
Wapendwa ttcl.

Hii nchi ni yetu sote na ninyi ni shirika letu la umma,

Sijaona haja ya kuwaumiza Watanganyika wenzio

kwa kupandisha bei ya vifurushi vya data

kama vile wewe siyo Mtanganyika.

Naamini kabisa wewe uliyetoa wazo hilo basi

unatumika na makampuni ya mabeberu kuiua ttcl.

Hunishawishi kabisa na shirika linaenda

kukimbiwa na wateja wengi wazalendo.

Shukrani sana
 
Noma sana
 
Back
Top Bottom