Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Siyo asubuhi tu, pia hata jioni kujiunga na internet ya TTCL ni changamoto.True Aisee, alafu kuanzia asubuhi net yao haiku bali kujiunga vifurushi kwa T pesa, wanaturudisha nyuma sana hawajui tuu, nadhani committee ya customer service iji tathmini upya, na huko kuongeza bei nadhani wajipe mda wa kuwaza mara 2, japo hatulazimishwi kutumia mtandao wa TTCL ila "it's not okay".
Pesa uliyotaka kujiunga kifurushi inaweza ikarudishw baada ya siku 2 au 3!
Bora nirudi Airtel.