TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Hii picha ni aibu ukupaswa kupost ninunue line ya ttcl kwajili ya 1gb kwa 2000 per week..???? Sasa kunatofauti gani kati ya ttcl na tigo, voda na airtel...????
 
Soma vizuri, Jibu hoja zangu straight usipinde pinde boss, Pia hiyo picha ya kifaa ulichoweka hapo sio hoja yangu, Si kila mtanzania anaweza kumiliki hicho, Ninachozungumzia hapa ni normal cellural network, Usipindishe hoja za msingi.
Sijui kama atarudi aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muhimbili wakishindwa wanapelekwa wapi?
 
Nawatumiaga hawa kupotezea muda usiku, Kifurushi chao cha buku unapewa GB 4 kuanzia saa mbili usiku mpaka kukuche, wana speed safi
Wewe utakuwa unaishi kati ya Posta, Upanga au Magogoni.
Huko ndo netweki inashika.

Lakini huku Buza kwa Lulenge hakuna jipya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makompyuta makubwa ya zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…