TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Benhorta ,Nimefanya tadhimini fupi na kugundua kuwa kutumia ttcl hakuna tofwauti na kutumia Tigo, Airtel nk.. Mf,
Tigo 3000=3Gb per week
Ttcl 3000=3Gb per week

Bado umedanganya pia .....
On a screenshot ya kifurushi cha week chagua weweView attachment 1404285

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii picha ni aibu ukupaswa kupost ninunue line ya ttcl kwajili ya 1gb kwa 2000 per week..???? Sasa kunatofauti gani kati ya ttcl na tigo, voda na airtel...????
 
Soma vizuri, Jibu hoja zangu straight usipinde pinde boss, Pia hiyo picha ya kifaa ulichoweka hapo sio hoja yangu, Si kila mtanzania anaweza kumiliki hicho, Ninachozungumzia hapa ni normal cellural network, Usipindishe hoja za msingi.
Sijui kama atarudi aisee
 
Mkitaka kutia tutawatia pia
IMG-20200330-WA0048.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walio ajiriwa huko hawakufanya interview au kama walifanya walikosea kuchukua. Badala ya kuchagua top layer walichaguliwa bottom layer.
Ulishafika pale TTCL Nyerere road mkuu? Hebu fika siku moja uombe hata kununua router uone utakavyovunguushwa. Hutaamini kama wanauza. Sasa fika NSSF Ilala. Nadhani NSSF wanaajiri watu wenye IQ ya watoto wa darasa la tatu.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
We ndo hujuhi hudama zitolewazo na serikali zilivyo nzuri.
Tuanze na Muhimbili wagonjwa wwkishindikana kwingine upelekwa huko.
Tanesco wape sifa zao huwezi linganisha na wavaa matai wa Tanrod meneja wa mkoa hata chepe Hana. Hawezi Zina hata shimo la barabarani .



Sent using Jamii Forums mobile app
Muhimbili wakishindwa wanapelekwa wapi?
 
Nawatumiaga hawa kupotezea muda usiku, Kifurushi chao cha buku unapewa GB 4 kuanzia saa mbili usiku mpaka kukuche, wana speed safi
Wewe utakuwa unaishi kati ya Posta, Upanga au Magogoni.
Huko ndo netweki inashika.

Lakini huku Buza kwa Lulenge hakuna jipya
 
Hata vijijini haipatikani kwa kiwango cha namna wanavyojigamba!!!! Halaf huduma kwa wateja mikoani bado sana. Mikoani ukijaribu kuutembelea ofisi za voda, tigo, airtel, hallotel halafu unafanishe na TTCL kuna tofauti kubwa sana kwenye huduma za wateja. TTCL bado wana wazee ambao ni wazito kuhudumia wateja. Utawakuta wamekaa kwenye ma computer yao yale makubwa ya kipindi cha nyuma sana!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makompyuta makubwa ya zamani
 
Back
Top Bottom