TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Lini hawajapokea?
Mwezi wa 3 mwaka huu nilinunua laini ikawa ina shida ya kimtandao nlijaribu sana kuwapigia ila hawakupokea nlizani kisa jumapili ila hta jumatatu kila nikjaribu kuwapigia hawakupokea sim yangu na ndo ukawa mwisho wangu wa kutumia lain yao.
 
Pole sana mkuu.
 
Nenda basi kautoe uweke wa TTCL.
Ili iweje ?, wamekuja wenyewe na marketing kwamba wanazidi kuvuta wateja..., sasa hata kama kwenye marketing promo yao kuna mwanvuli wa competitor wao huoni kwamba either wana uwalakini au to say the least bado wana safari ndefu sana....., Yaani wamekosa hata mwanvuli wa kuzugia kupiga picha ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]usiwaze mkuu, miavuli ya TTCL ipo njiani kuja Tanzania.

Cha kufanya tafuta watu hata 100, ili ilifika nikugawie bure usambaze kwa watu wako.

Rudi Nyumbani Kumenoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…