Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Lini hawajapokea?Kwa huduma mbovu kupitiliza na wala hampokei simu za wateja wenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini hawajapokea?Kwa huduma mbovu kupitiliza na wala hampokei simu za wateja wenu.
Mwezi wa 3 mwaka huu nilinunua laini ikawa ina shida ya kimtandao nlijaribu sana kuwapigia ila hawakupokea nlizani kisa jumapili ila hta jumatatu kila nikjaribu kuwapigia hawakupokea sim yangu na ndo ukawa mwisho wangu wa kutumia lain yao.Lini hawajapokea?
Pole sana mkuu.Mwezi wa 3 mwaka huu nilinunua laini ikawa ina shida ya kimtandao nlijaribu sana kuwapigia ila hawakupokea nlizani kisa jumapili ila hta jumatatu kila nikjaribu kuwapigia hawakupokea sim yangu na ndo ukawa mwisho wangu wa kutumia lain yao.
kwasababu tunatafuta gawio la kupeleka serikalini.Mbona gharama za vifurushi zimepanda mnooo!???
Ndiyo tumepewa tuzo sababu ya kutoa huduma nzuri ya mawasiliano.
Kinondoni swetheart kumbe unatetea ugali wako[emoji134][emoji134]Ndiyo tumepewa tuzo sababu ya kutoa huduma nzuri ya mawasiliano.
#RudiNyumbaniKumenoga
Sitetei ugali, nimejibu swali ulilouliza.Kinondoni swetheart kumbe unatetea ugali wako[emoji134][emoji134]
Haya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, maboresho ya intaneti zanazidi kuendelea ili muweze kupata spidi ya 4.5G.Speed ya internet iko low mno.. mnakwama wapi?
Mkuu, kubadilika kwa bei inategemeana na mabadiliko ya kibiashara mkuu.Kwann mmepandisha bei ya vifurushi
Nenda basi kautoe uweke wa TTCL.Naona mwanvuli wa Tigo hapo..., it shows kwa jinsi wenzenu kama ni heavyweights nyie bado ni lightweight...
Ili iweje ?, wamekuja wenyewe na marketing kwamba wanazidi kuvuta wateja..., sasa hata kama kwenye marketing promo yao kuna mwanvuli wa competitor wao huoni kwamba either wana uwalakini au to say the least bado wana safari ndefu sana....., Yaani wamekosa hata mwanvuli wa kuzugia kupiga picha ?Nenda basi kautoe uweke wa TTCL.
[emoji23][emoji23][emoji23]usiwaze mkuu, miavuli ya TTCL ipo njiani kuja Tanzania.Ili iweje ?, wamekuja wenyewe na marketing kwamba wanazidi kuvuta wateja..., sasa hata kama kwenye marketing promo yao kuna mwanvuli wa competitor wao huoni kwamba either wana uwalakini au to say the least bado wana safari ndefu sana....., Yaani wamekosa hata mwanvuli wa kuzugia kupiga picha ?