TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Mwezi wa 3 mwaka huu nilinunua laini ikawa ina shida ya kimtandao nlijaribu sana kuwapigia ila hawakupokea nlizani kisa jumapili ila hta jumatatu kila nikjaribu kuwapigia hawakupokea sim yangu na ndo ukawa mwisho wangu wa kutumia lain yao.
Pole sana mkuu.
 
Baada ya maboresho mazuri ya vifurushi nafuu kutoka TTCL.

Sasa tunaendelea kuvuna wateja wapya kutoka kwenye pande zote za Tanzania.

Hakika nyumbani kumenoga.

#RudiNyumbaniKumenoga

80089745_2509382439298789_8330938009532760064_n.jpg
IMG_20200809_193547_788.JPG
IMG_20200809_193532_795.JPG
IMG_20200809_193452_059.JPG
IMG_20200809_193506_886.JPG
14606491_10154652843382884_2371096567608082460_n.jpg
 
Nenda basi kautoe uweke wa TTCL.
Ili iweje ?, wamekuja wenyewe na marketing kwamba wanazidi kuvuta wateja..., sasa hata kama kwenye marketing promo yao kuna mwanvuli wa competitor wao huoni kwamba either wana uwalakini au to say the least bado wana safari ndefu sana....., Yaani wamekosa hata mwanvuli wa kuzugia kupiga picha ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]usiwaze mkuu, miavuli ya TTCL ipo njiani kuja Tanzania.

Cha kufanya tafuta watu hata 100, ili ilifika nikugawie bure usambaze kwa watu wako.

Rudi Nyumbani Kumenoga
 
Back
Top Bottom