TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Wanazingua kivipi mkuu?
Si useme changamoto unayoipata ili itatuliwe.
Au kama una maoni au ushauri inaweza kuuweka hapa.
Kwanza walitakiwa kuwa network leading company. Kwa muda huu walitakiwa kuwa choice number moja kwa gharama na stability ya network yao. waanzie vijijini kurudi mjini.

Unanunua line yao kuienda wilaya kibao hawapo.

sasa wa nini
 
Kwanza walitakiwa kuwa network leading company. Kwa muda huu walitakiwa kuwa choice number moja kwa gharama na stability ya network yao. waanzie vijijini kurudi mjini.

Unanunua line yao kuienda wilaya kibao hawapo.

sasa wa nini
Asante kwa maoni yako mkuu.
 
Kwanza walitakiwa kuwa network leading company. Kwa muda huu walitakiwa kuwa choice number moja kwa gharama na stability ya network yao. waanzie vijijini kurudi mjini
Unanunua line yao kuienda wilaya kibao hawapo
sasa wa nini
Asante kwa maoni yako mkuu.
 
Alaf nimenunua Umeme kupitia T-PESA naona mmejikausha

Nimewapigia simu huduma kwa wateja hampokei

Nimewatext katka social medias zenu hamjibu.

Nimewapigia ktk namba zenu za General call center, mnakata.

Sasa CUSTOMER care service yenu sijaipenda kwa kwel.

POOR kbs.... 100%

Then.. network yenu hizi wiki mbil zilizopita sijaielewa... Mnaniongezea cost kujiunga vifurushi vingine kupitia makampuni mengine ya simu.. maana nyiny mmekata hela ya bundle then Service provided ni Useless kbs..

Mnatia AIBU
 
Ni wakati wa mavuno sasa.
Ndugu Mteja T-PESA inapenda kukutaarifu kuwa itatoa gawio la faida kwa wateja wake.
Endelea kufurahia huduma zetu.

T-PESA Nafuu na Salama.
 
Kwa sasa ngoja niwe airtel na voda.... Siku mkiboresha network na vifurushi nitarudi.. inakera kuona 4G ya ttcl haisomi baadhi ya maeneo hapa hapa dar...
 
Boom Pack ipo!!
Ni maalum kwa ajili ya Wasomi waliopo Vyuoni. Endelea kushusha madesa mtandaoni ukiwa na Mtandao wako wa Nyumbani, TTCL.
Kwetu kumenoga.
 
Popote ulipo Tanzania,
Kwa kutumia simu yoyote uliyonayo, TTCL tupo nawe.
Furahia huduma zote za Mawasiliano na Fedha Mtandao kwa Viwango vya juu vya ubora na gharama nafuuu karibu na bure. Nyumbani ndio mpango mzima.
 
TTCL kisomi zaidi.
Mwanachuo,anza wiki kwa kujiunga na Boom Pack,kifurushi nafuu kabisa chenye GB za kutosha. Ukiwa na Boom Pack, ni kicheko mwanzo mwisho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…