Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
GB 2 ipi?Je Yaliyomo yamo?
Tatizo sio vifurushi tatizo kasi ya konokono.
Unaweza ukakuta hiyo 2GB huimalizi mpaka inaexpire.
Mbona wapo vizuri tu.Inahitaji roho ngumu sana ili kuiamini TTCL.
Kuna uzi wao humu, waliukimbia kwa kushindwa kujibu maswali ya wateja.
Wapi nimeandika GB 2?hiyo 2GB ni Kwa wiki?
Wapi nimeandika GB 2?
Soma vizuri mkuu.Kwenye hiyo Screenshot kipengele cha (1) .
Aisee! 😂 haya nashukuru.Soma vizuri mkuu.
Nimeandika GB 1.2 sio GB 2
Karibu sana mkuu.Aisee! 😂 haya nashukuru.
Wapo wapi??Mbona wapo vizuri tu.