Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Siwatetei TTCLSijakwambia kwamba sijui menu ya kujiunga vifurushi (natumia data only)
How unalipa tshs 5000 unajiunga kifurushi cha 8GB kwa wiki 3GB ndio za kutumia mchana then 5GB kuanzia saa sita usiku hadi alfajiri
So ni kwamba umeuziwa 3GB badala ya 8GB huo ni utapeli mkubwa
Msipoangalia hata hao wateja wachache mliokuwa nao watawakimbia.
Tunakwenda kwa kasi ya 4G na tunapenda kukukumbusha kurudi nyumbani maana kumenoga.
#RudiNyumbaniKumenoga
Since TTCL wamerudi nimekuwa loyal customer wao (natumia data nilinunua device yao Mi-Fi) hicho kifurushi hizo 5GB zilikuwa unaanza kuzitumia saa 4:00 usiku now wamezihamishia saa sita ni utapeli huoSiwatetei TTCL
Lakini Malalamiko yako hayana mashiko kaka
Sasa hujazuiliwa kutumia hizo 5GB za usiku unasemaje umeuziwa 3GB badala ya 8GB ? ingekua huwezi ku'internet usiku Sawa wangekua wamekupiga lakini hawajakuzuia maskini ya Mungu [emoji23]
Kwa hiyo mmeamua kunikera kabisa mana kasi yenu ni 1GTunakwenda kwa kasi ya 4G na tunapenda kukukumbusha kurudi nyumbani maana kumenoga.
#RudiNyumbaniKumenoga
Kwa hiyo mmeamua kunikera kabisa mana kasi yenu ni 1G
[emoji1][emoji1][emoji1]
Mjini wapi? hapa maeneo ya Kambarage Tower , karibu na Ofisini kwao Dodoma Hotel huwezi kupata TTCL signals ...si data wala voice....sema ndiyo hivyo ni lazima kiserikali kuwa na line yaoTatizo. Mnapatikana mijini tu hebu jisogezen vijijini mpate wateja
Admin anazingua 😂😂😂😂😂😂😂😂😁Tunakwenda kwa kasi ya 4G na tunapenda kukukumbusha kurudi nyumbani maana kumenoga.
#RudiNyumbaniKumenoga
[emoji3][emoji3] acha tu Mimi nimewaambia kwendenii ndo wakareply hiviAdmin anazingua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]