Asee kurudi kutumia tigo ni ujasiri wa hali ya juuNiliona iko slow nikahisi labda ni huku eneo niliopo nimerudi zangu tigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha ttcl inazingua ninapoishi halotel na Airtel hivyo hivyoAsee kurudi kutumia tigo ni ujasiri wa hali ya juu
Sent using Soviet T-72 Main Battle Tank
Sawa bwana WAZIRI KINDAMBA tumekusikiaSina muda mrefu tangu nijiunge ttcl, lakini challenges unazotoa kama za uzushi vile. Customer care naona wapo vizuri, huduma za internet I can't challenge, japo naona watu wanakusuta. Ndugu yangu aliibiwa till za kampuni 4, ttcl ilimchukua dk 8 kupewa till nyingine kwa sh 1000 ambayo ni salio aliwekewa kwenye line. Hao unaowapamba, Vodacom amerudishiwa till baada ya siku 42 na kudaiwa sh 30000!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzoni huwezi ona kama ttcl sio laini nzuri lakini muda unavyokwenda utaona weakness zake .Sina muda mrefu tangu nijiunge ttcl, lakini challenges unazotoa kama za uzushi vile. Customer care naona wapo vizuri, huduma za internet I can't challenge, japo naona watu wanakusuta. Ndugu yangu aliibiwa till za kampuni 4, ttcl ilimchukua dk 8 kupewa till nyingine kwa sh 1000 ambayo ni salio aliwekewa kwenye line. Hao unaowapamba, Vodacom amerudishiwa till baada ya siku 42 na kudaiwa sh 30000!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wapo vizuri tu mkuu
tatizo sio wao tatizo sehemu unayokaa.
Kama upo single rudi kijitonyama ukakumbushie tabasamu real(natania), lakini tuwe na ka uzalendo fulani kupenda vitu vya nyumbani. Shortfalls zilizopo tuzieleze wazifanyie kazi ili mambo yaende sawa. Tukiwalaumu sana tutawakatisha tamaa.Nilifika kijitonyama nikahudumiwa na kadada fulani kazuri sana. Kana tabasamu real sana. Nikasajili line na mambo mengine nikaondoka. Sasa bundle yao imeanza kuzingua juzi hapa. Nikiwaza kupiga chini 'home kumenoga" nakakumbuka kale kadada kisha naghairi
Sent using Jamii Forums mobile app