TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Sina muda mrefu tangu nijiunge ttcl, lakini challenges unazotoa kama za uzushi vile. Customer care naona wapo vizuri, huduma za internet I can't challenge, japo naona watu wanakusuta. Ndugu yangu aliibiwa till za kampuni 4, ttcl ilimchukua dk 8 kupewa till nyingine kwa sh 1000 ambayo ni salio aliwekewa kwenye line.

Hao unaowapamba, Vodacom amerudishiwa till baada ya siku 42 na kudaiwa sh 30000!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina muda mrefu tangu nijiunge ttcl, lakini challenges unazotoa kama za uzushi vile. Customer care naona wapo vizuri, huduma za internet I can't challenge, japo naona watu wanakusuta. Ndugu yangu aliibiwa till za kampuni 4, ttcl ilimchukua dk 8 kupewa till nyingine kwa sh 1000 ambayo ni salio aliwekewa kwenye line. Hao unaowapamba, Vodacom amerudishiwa till baada ya siku 42 na kudaiwa sh 30000!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa bwana WAZIRI KINDAMBA tumekusikia
 
Sina muda mrefu tangu nijiunge ttcl, lakini challenges unazotoa kama za uzushi vile. Customer care naona wapo vizuri, huduma za internet I can't challenge, japo naona watu wanakusuta. Ndugu yangu aliibiwa till za kampuni 4, ttcl ilimchukua dk 8 kupewa till nyingine kwa sh 1000 ambayo ni salio aliwekewa kwenye line. Hao unaowapamba, Vodacom amerudishiwa till baada ya siku 42 na kudaiwa sh 30000!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzoni huwezi ona kama ttcl sio laini nzuri lakini muda unavyokwenda utaona weakness zake .


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifika kijitonyama nikahudumiwa na kadada fulani kazuri sana. Kana tabasamu real sana. Nikasajili line na mambo mengine nikaondoka. Sasa bundle yao imeanza kuzingua juzi hapa.

Nikiwaza kupiga chini 'home kumenoga" nakakumbuka kale kadada kisha naghairi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani leo hawa jamaa wamenikwaza sana [emoji17][emoji20][emoji57][emoji57]

Kwa masaa mengi sana leo TTCL hawakuwa hewani .

Nimepiga simu huduma kwa wateja imeitaaa weeeee bila kupokelewa.

Mmeniudhi sana leo.

Nitafile claim for damages


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini TTCL wawe na huduma mbovu wakati wao ndio wanaowauzia makampuni yote huduma? Kama kuna tatizo uongozi wa TTCL umulikwe maana haiwezekani wao watoe huduma mbovu wakati ndio wauzaji wa huduma kwenye makampuni yaliyobaki.

Lazima kuna kahujuma hapa, nani ndio mkubwa wa hiki kitengo? Je, Waziri mwenye dhamana analifahamu hili?
 
Nilifika kijitonyama nikahudumiwa na kadada fulani kazuri sana. Kana tabasamu real sana. Nikasajili line na mambo mengine nikaondoka. Sasa bundle yao imeanza kuzingua juzi hapa. Nikiwaza kupiga chini 'home kumenoga" nakakumbuka kale kadada kisha naghairi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama upo single rudi kijitonyama ukakumbushie tabasamu real(natania), lakini tuwe na ka uzalendo fulani kupenda vitu vya nyumbani. Shortfalls zilizopo tuzieleze wazifanyie kazi ili mambo yaende sawa. Tukiwalaumu sana tutawakatisha tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom