Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Chanika huku tunakamua kama Kawa yaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chanika huku tunakamua kama Kawa yaani
Punguza jazba mkuuInaonekana kama TTCL wameshindwa kukidhi mahitaji ya mawasiliano ya wateja wake.Hakuna hata huduma moja ya TTCL ambayo iko reliable.
Kama una mawasiliano muhimu usije ukayafanya kupitia TTCL unaweza kuja kujuta,Huduma za kupiga simu ovyo, huduma za ujumbe mfupi ovyo, huduma za fedha ovyo, internet ndio kabisa ovyo saba mara sabini,muda mwingi signal ni E,3G,H saa nyingine signal zinakuwa hamna kabisa kwa siku kama 4 sasa signal zinang'ang'ana kwenye H.Unaweza kudhani TTCL ni shirika la Jalalani kumbe eti ndio shirika mama la mawasiliano la watanzania wanyonge
Itakuwa vizuri mkuuTTCL hivi wanakwama wapi? Meneja wao ni nani? Je, yupo hapo kwa muda gani? Maana hawa ndio wanawaunganisha nework zote Tanzania. Je, wanahongwa na makampuni ya kigeni? Tunaomba Waziri mwenye dhamana aunde tume wachunguzwe.
WellTTCL hivi wanakwama wapi? Meneja wao ni nani? Je, yupo hapo kwa muda gani? Maana hawa ndio wanawaunganisha nework zote Tanzania. Je, wanahongwa na makampuni ya kigeni? Tunaomba Waziri mwenye dhamana aunde tume wachunguzwe.
Pole sanaHiyo no 2 ndio kero iliyoshindikana kufanyiw marekebidho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hayo ulio yaandika, basi haukupaswa kuweka neno "kumenoga" kwenye heading.
Na badala yake ungetumia neno "kumechoka".
Watarekebisha soonHawa jamaa TTCL wajichunguze tena maana huduma zao ni mbovu.Nilijiunga nao pale mh.Rais wa nchi alipotuhamasisha kujiunga nao.Lakini baadae niliwahama kwa sababu net yao ipo chini mno kwa kasi na SMS haziendi, yani ni tabu tupu.