TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Habari kiukweli mwenzenu napata changamoto kubwa sana kwenye upande wa TTCL pesa kila wiki mnakuwa na tatizo la kununua vifurushi kupitia TTCL pesa maana unakuta muda mwengine vinagoma kabisa yaani... inafikia hatua hadi namba ya siri mnaifunga na kusema ni batili imekuwa ikinipa shida sana hilo tatizo hasa... ina peleka kila baada ya wiki ni wapigie ili nibadilishe tena namba ya siri kiukweli ina boa sana

Kingine kwenye upande wa call center wafanya kazi wenu awako chapu kuongea na wateja unakuta simu unapiga weeeee kwanzia saa moja asubuhi hadi saa mchana simu aipokelewi unachosikia tu kuwa muongea na mtoa uhuduma anauhudumia wateja wengine sasa na shindwa kuelewa ni muda wote huo wako busy sana ... inapelekea hadi mteja kukata tamaa na kuitoa laini ya TTCL kwenye simu...
Ushauri wangu Muongeze watu wa call center na wawe Active muda wote ,,,,

Mimi niko Goba Mpakani
 
mkuu uliyeleta thread anza kutumia line yenu then utapata feedback mi nna mwezi wa nne sasa nimeachana na line ya ttcl nimeludi airtel manake ttcl ni kujipa stress tu line yenu ni takataka
 
Usiwaze kila kitu kitakaa sawa.
 
Habari kiukweli mwenzenu napata changamoto kubwa sana kwenye upande wa TTCL pesa kila wiki mnakuwa na tatizo la kununua vifurushi kupitia TTCL pesa maana unakuta muda mwengine vinagoma kabisa yaani... inafikia hatua hadi namba ya siri mnaifunga na kusema ni batili imekuwa ikinipa shida sana hilo tatizo hasa... ina peleka kila baada ya wiki ni wapigie ili nibadilishe tena namba ya siri kiukweli ina boa sana

Kingine kwenye upande wa call center wafanya kazi wenu awako chapu kuongea na wateja unakuta simu unapiga weeeee kwanzia saa moja asubuhi hadi saa mchana simu aipokelewi unachosikia tu kuwa muongea na mtoa uhuduma anauhudumia wateja wengine sasa na shindwa kuelewa ni muda wote huo wako busy sana ... inapelekea hadi mteja kukata tamaa na kuitoa laini ya TTCL kwenye simu...
Ushauri wangu Muongeze watu wa call center na wawe Active muda wote ,,,,

Mimi niko Goba Mpakani
Asante kwa ushauri wako.
 
Network yenu mwanzo ilikua poua saana saizi naitafuta kwa toch,,3G inakuja kama inarud hivi yaani ni shida,,nipo Itamba mbarali.
Pia nlienda mkwanuni Songwe nilikaa kama wiki hivi sikupata kama mtando wa ttcl yaani hakuna kabisa kwa 24/7.
Vocha zenu pia kuzitafuta ni sawa na kutafuta bikra miaka hii,,hazipo madukan
 
Pole sana baharia
 
Kitu kingine ttcl wekeni usawa jamam unaposema watumishi bando muwakumbuke wote jaman co watu waserikali tu na ma bank aise ... sio sawa kweli mnasema nyumban kumenoga wakati hata wafanya usafi maofisin na watu wenye makapuni mengine mna waninyima fulsa hiyo sio sawa aise
 
Habari ya jioni,

Ndugu mteja tunaomba utufahamishe changamoto unayoipata pindi umapotumia mtandao wetu wa TTCL.

MUHIMU
1. Kumbuka kutaja eneo ulilopo.
2. Aina ya tatizo.

NB: Kama una mapendekezo ya vifurushi na pia maoni kuhusu huduma zetu unakaribishwa.

Rudi Nyumbani Kumenoga.

Nipo Dodoma...TTCL haina usikivu kabisa kabisa...ukimpigia mtu simu kuelewana ni ngumu ngumu sana...ofisini wenzangu wengi Walinunua line zenu kwaajili ya vifurushi vizuri vya sauti.
Lakini sasa ukipiga huelewani na unaempigia kabisa..lazima upige ukate kwanza urudie urudie lakini usikivu wa sauti kwa kampuni yenu ni shida kubwa kubwa kubwa.
Wengi ofisini kwetu wameziondoa line kila mtu alalamikia usikivu..
Mtu umenunua dkk 750 halafu husikilizani na Unayeongea naye mpaka unalazimika kununua kifurushi cha mtandao mwingine upige ndio mnasikilizana vizuri tuu.

Internet sio reliable kabisa..kuna siku na muda inakata kabisa...hakuna Internet.ikirudi haitabiriki mara ipande mara ishuke kabisa.
Mkiboresha hasa usikivu mtafika mbali sana.
 
Habari ya jioni,

Ndugu mteja tunaomba utufahamishe changamoto unayoipata pindi umapotumia mtandao wetu wa TTCL.

MUHIMU
1. Kumbuka kutaja eneo ulilopo.
2. Aina ya tatizo.

NB: Kama una mapendekezo ya vifurushi na pia maoni kuhusu huduma zetu unakaribishwa.

Rudi Nyumbani Kumenoga.

1.Upatikanaji wa voucher na services zingine kama T-pesa ni almost non existent in many places..
2.Connection haipatikani sometimes na replenishing airtime,MBs au GBs kutoka bank accounts inakuwa ngumu sana.Boresheni huduma hii,mnakosa kipato sana,hasa kwa kuwa hamna services as in 1&2 above.
3.Vifurushi vya voice sio vibaya.
Frankly we want to support our company,lakini services ni too mediocre.Pull up your socks.
4.Mimi niko Morogoro.
 
Back
Top Bottom