Chingili
Member
- Jul 3, 2020
- 9
- 20
Habari kiukweli mwenzenu napata changamoto kubwa sana kwenye upande wa TTCL pesa kila wiki mnakuwa na tatizo la kununua vifurushi kupitia TTCL pesa maana unakuta muda mwengine vinagoma kabisa yaani... inafikia hatua hadi namba ya siri mnaifunga na kusema ni batili imekuwa ikinipa shida sana hilo tatizo hasa... ina peleka kila baada ya wiki ni wapigie ili nibadilishe tena namba ya siri kiukweli ina boa sana
Kingine kwenye upande wa call center wafanya kazi wenu awako chapu kuongea na wateja unakuta simu unapiga weeeee kwanzia saa moja asubuhi hadi saa mchana simu aipokelewi unachosikia tu kuwa muongea na mtoa uhuduma anauhudumia wateja wengine sasa na shindwa kuelewa ni muda wote huo wako busy sana ... inapelekea hadi mteja kukata tamaa na kuitoa laini ya TTCL kwenye simu...
Ushauri wangu Muongeze watu wa call center na wawe Active muda wote ,,,,
Mimi niko Goba Mpakani