TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Duuh ngoja nikatafute makazi mengine kwa ajili ya data. [emoji19][emoji19]
 
Mmeshusha sana vifurushi
Nadhani nami nitashuka kwenye jahazi lenu sooon.
TTCL Corporation Yani mlianza Vizuri na slogan yenu”Rudi Nyumbani Kumenoga” Tumewapokea vizuri sasa mmelewa sifa. Kifurushi cha Boom Pack ni mahususi kwa wanafunzi.

Bila taarifa wala kujali umuhimu wa kifurushi cha wanavyuo kimefutwa kilianza 1500 Mara 2000, Kutoka 2500-3500.Mmeshindwa kuiendesha hiyo biashara turudi ugenini? Mkataa kwao ni mtumwa. Ila itabidi tuukubali utumwa kufata unafuu na Huduma Bora.
 
TTCL Corporation hakuna mtandao wa kiipuzi kama ninyi na uongozi wenu.
Mmepandisha gharam ya vifurushi.

-Mtandao wenu haupo stable hata kidogo. Mmekuwa na lugha za kutokujali wateja wenu. Mmekula pesa zangu sana nimewavumilia mkidai masuala ya mtandao.

Hamna adabu WEZI WAKUBWA
 
Kwa kweli sikutegemea kama kuna siku nitaacha laini ya ttcl lakini leo imebidi kwa sababu ya bei kubwa ya kifurushi.
 
HAMNA JIPYA TTCL WAPUUZI TU. YANI MMEPANDISHA GHARAMA KULIKO HATA MITANDAO BINAFSI. PUMBAVU KABISA. NATUPA TAKA TAKA LENU, ETI KWA MWEZI GB 7 KWA SH 10,000 KUTOKA GB 12 KWA SH 10,000, HIYO NI BOOMPACK SIPATI PICHA HUKO KWINGINE SIJUI INAKUWAJE. YANI BORA TIGO NA MITANDAO MWINGINE WANA UNAFUU. GHAFLA MMEJIKUTA WAJUAJI, SASA BAKINI NA UPUUZI WENU
 
Kupanda kwa gharama za vifurushi TTCL ni matunda ya kuwapa dhamana kusimamia makampuni makubwa wasio na akili ya uchumi. Kupandisha gharama hakuwafanyi mpate pesa nyingi badala yake kunawafukuza kwenye huduma yenu wenye vipato vidogo ambao ndiyo wengi sana.

Mngekuwa na akili ya biashara mngejifunza kwa wachina lakini siyo ulimbukeni mliouonesha.
 
duuu bola na haloteli mega bando 1000 = 1GNB + dakika 10 kwa wiki View attachment 1526166
Katika kampuni ambayo market manager haijielewwi ni hii yaani wilaya nzima tuko wawili wenye laini ya TTTCL halafu mnapandisha vifurushi hivi mnaweza kupambana na soko la biashara wakati dakika zenu sina wakumpigia akili yenu iwekezeni kwenye DATA hapa ndio.tunaweza kushare wote ukinipa dakika za TTCL nampigia nani MKUUU WA WILAYA au maana ndio.watu wenye laini za TTCL badilikeni tunawasema vibaya.

TTCL Customer Care
 
TTCL ni shirika la kiserikali... Tulitegemea kupata hudumu kwa Bei ya chini... Lakini imekua ndivyo sivyo mmeanza kuminya mpaka vifurushi siku izi Elfu tano unampata GB peke yake... Rudisheni zile bando za elfu tano kupata GB 4 na Muda wa maongezi wa kutosha... Mtatupoteza
 
Katika kosa kubwa nililowahi kufanya maishani mwangu ni kumiliki line ya TTCL Corporation.
Sms mwisho ni character 150.
Sms unatuma leo, inafika kesho.
Network sio ya uhakika
Usikivu mbovu.
Narudi zangu Tigo Tanzania.
Tigo mnisamehe, shetani ni mbaya, alinidanganya eti RUDI NYUMBANI KUMENOGA, badala ya kunirudisha nyumbani, akanipeleka pangoni.
Bye bye shetani, kuanzia leo nakukataa wewe na hila zako za urubunifu eti RUDI NYUMBANI KUMENOGA, wakati kumechacha hadi kumechalala
Hahaha umeongea ukweli mtupu hapo kwenye sms character .
Ttcl inaboa mno
 
You know what TTCL kiss my ASS, nyumbani hapawezi kuwa pachungu hivi mabwege mtozeni nyinyi laiti mngejua tunavyo struggle kupata vocha zenu msinge tufanya tu struggle kutafuta kifurushi cha kujiunga.

Namalizia Internet yangu na rudi zangu tigo napiga *147*00# najiunga kifurushi cha mwezi GB7 kwa 10,000 alafu najiunga tena kifurushi cha social papo hapo kwa elfu tatu napata GB 6. I'm done with you asshole
 
You know what TTCL kiss my ASS, nyumbani hapawezi kuwa pachungu hivi mabwege mtozeni nyinyi laiti mngejua tunavyo struggle kupata vocha zenu msinge tufanya tu struggle kutafuta kifurushi cha kujiunga. Namalizia Internet yangu na rudi zangu tigo napiga *147*00# najiunga kifurushi cha mwezi GB7 kwa 10,000 alafu najiunga tena kifurushi cha social papo hapo kwa elfu tatu napata GB 6. I'm done with you asshole
M[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Msimu huu wa Nanenane tupo katika Mikoa hii kuwahudumia wateja wetu.
Karibuni sana.

# RudiNyumbaniKumenoga

117198176_10158864634147884_1737653325003187843_o.jpg
 
Karibu tukuhudumie.
Tembelea banda letu katika Viwanja vya Nyakabindi Simiyu.


#RudiNyumbaniKumenoga .
116620896_10158864288422884_3267489014578245936_o.jpg
 
Back
Top Bottom