Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Kuwa na subiraline yao nilitupilia mbali baada ya kugundua wanatumia minara ya tigo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa na subiraline yao nilitupilia mbali baada ya kugundua wanatumia minara ya tigo
nyumbani washanifukuza toka 2010.Rudi Nyumbani Kumenoga
Ukipiga *148*30# kisha ukichagua OFA MAALUM utakiona kifurushi cha WATUMISHI PLUS ukinunua inakubali.Munajuaje kua mimi ni mtumishi endapo nimejiunga?
Pole sananyumbani washanifukuza toka 2010.
Pole sana, karibu nikuhudumie.Mi mwenyewe nilibadili line yani niko Dar network inazengua utadhani uko mkoani. Customer care ukipiga simu unakaa nusu saa hawapokei sijui kama rais wangu anajua hawa wafanyakazi wanavyotufanya tuukimbie huu mtandao
Nimetoka kuangalia hicho kifurushi #3,hakipoSasa hivi pamechacha hapaeleweki tumekimbia hao Bei zimepanda na huduma mbovu
Ndo wamefanya mabadiliko hayo
Kwann mmeondoa TAM TAM bundle!?Tuwavumie
Kwann mmeondoa TAM TAM bundle!?Tuwavumie
Unaleta utani kweli wewe afisa habari, toka Jul 27, 2020 unakuja leo kujibu baada ya kupewa bajeti ahahahaaa...Pole sana ndugu mteja.
Una tatizo lolote unalopata pindi unapotumia huduma za TTCL?
Amejibu lini sasa..?Mbona amejibu
Pitia vizuri comment utaonaAmejibu lini sasa..?
Sababu ni gharama za kuendesha shirika ni kubwa hivyo basi tumelazimika kuondoa na kuongeza baadhi ya gharama za vifurushi.Kwann mmeondoa TAM TAM bundle!?
Sababu ni gharama za kuendesha shirika ni kubwa hivyo basi tumelazimika kuondoa na kuongeza baadhi ya gharama za vifurushi.
Ila mambo yakikaa sawa tunaweza kuvirudisha.
Sasa mtatumia wenyewe laini zenu..Sababu ni gharama za kuendesha shirika ni kubwa hivyo basi tumelazimika kuondoa na kuongeza baadhi ya gharama za vifurushi.
Ila mambo yakikaa sawa tunaweza kuvirudisha.