TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Munajuaje kua mimi ni mtumishi endapo nimejiunga?
Ukipiga *148*30# kisha ukichagua OFA MAALUM utakiona kifurushi cha WATUMISHI PLUS ukinunua inakubali.
Lakini kama sio mtumishi haitakubali.

Ili kupata vifurushi vya WATUMISHI tafadhali tembelea ofisi za TTCL ukiwa na kitambulisho cha ajira.
 
Mi mwenyewe nilibadili line yani niko Dar network inazengua utadhani uko mkoani. Customer care ukipiga simu unakaa nusu saa hawapokei sijui kama rais wangu anajua hawa wafanyakazi wanavyotufanya tuukimbie huu mtandao
 
Pole sana, karibu nikuhudumie.
 
Sababu ni gharama za kuendesha shirika ni kubwa hivyo basi tumelazimika kuondoa na kuongeza baadhi ya gharama za vifurushi.

Ila mambo yakikaa sawa tunaweza kuvirudisha.

Gharama gani za kuendesha shirika wakati

mnapata ruzuku? Una uhakika gani kama ari itarudi kama zamani?

Au ndiyo mnafosi kutafuta pesa za gawio?

Acheni unaa hii nchi ni yetu sote hivyo

mnavyokuwa mnafanya maamuzi tumieni vichwa

kufikria na siyo matumbo.

Tatizo lenu ninyi vijana mumeaminiwa na umma

lakini mnatumika na makampuni ya mabeberu

kama mipira ya ngono( Condom)

.!
 
Shirika la Mawasiliano Tanzania-TTCL Corporation lazindua Promosheni ya KARIBU NYUMBANI inayolenga kuwakaribisha Wateja wapya.

Katika Kampeni hiyo wateja wapya watapata Dakika,SMS na MB.

# RudiNyumbaniKumenoga

117160701_10158867623447884_8897893363002706102_o.jpg
117170539_10158867623532884_7846253623554739795_o.jpg
117288220_10158867623637884_785592480162325376_n.jpg
 
Back
Top Bottom