Mjamaa1
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,596
- 6,023
Wamekuwa kama kampuni za mabeberuMmepandisha bei vifurushi vyenu vya internet,tayari nimeshahamia hallotel!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekuwa kama kampuni za mabeberuMmepandisha bei vifurushi vyenu vya internet,tayari nimeshahamia hallotel!
Habari yako Mr. Kamugisha.
Je, unapata tatizo lipi unapotumia huduma za TTCL?
pale kuna majengo ya ttcl, ofisi kama ofisi nakataa! tatizo la finger print tu iliandikwa emai kwenda head office na nikaambiwa niende kesho yake kwa majibu, utasema kuna ofisi hapo?Ndugu mteja Deceiver, Kibaha kuna ofisi ya TTCL maeneo ya Mkoani jirani na ilipo shule ya Kibaha Independent Pre & Primary School.
Rudi Nyumbani Kumenoga
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Nyie aise hamfaii kabisa leo nimewahama ramsi
Kila ukijisikia unafungua Uzi mpya badala ya kuendeleza ule wa mwanzo!Shirika la Mawasiliano Tanzania-TTCL Corporation lazindua Promosheni ya KARIBU NYUMBANI inayolenga kuwakaribisha Wateja wapya.
Katika Kampeni hiyo wateja wapya watapata Dakika,SMS na MB.
# RudiNyumbaniKumenoga
Mkuu nimewachoka vifurushi vyao kidogo halafu wezi pia bado kama bandika bandua wanakupa 4gb 500mb cha mchana ikifungua whats tu zimeisha atii doooh,kifurushi cha toboa wameondoa ukiweka line ya chuo mb kutoka 500mb mpaka 150mb no way bora nirudii kwa size yako tigo[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Huu ni ujima, huu ni ujinga wa wataalamu husika wa kufanya mambo kwa staili ya zimamoto. Namba zote zilisajiliwa kwa alama za vidole, tukiaminishwa ni fulproof. Hata mwaka haujapita linakuja la uhakiki. Hakuna mwenye namba nyingi bila matumizi nazo. Kuna mawakala, ofisini namba za kazi na binafsi nk. Binadamu amezaliwa huru na hata umbane vipi, ipo siku atakudai uhuru huo kwa nguvu.Hakiki namba zako kuepuka usumbufu.
JINSI YA KUPATA RUHUSA YA TTCL ILI KUTUMIA NAMBA YA ZIADA.
A.KUHAKIKI NAMBA KUU.
1. Piga *106#
2. Chagua namba 4 (Hakiki namba)
3. Ingiza namba ya kitambulisho.
4. Chagua namba "1" kuhakiki namba kuu.
5.Ingiza namba ya simu kuu.
B.KUHAKIKI NAMBA YA ZIADA
1. Piga *106#
2. Chagua namba 4 (Hakiki namba)
3.Ingiza namba ya kitambulisho.
4. Chagua namba "2" kuhakiki namba za ziada.
5. Chagua namba unayotaka kuhakiki iwe ya ziada kisha chagua matumizi ya hiyo namba.
MENGINEYO
Halotel pia hakufai mkuu, network iko very poor mwezi sasa unakAta, twendezetu VodacomMmepandisha bei vifurushi vyenu vya internet,tayari nimeshahamia hallotel!
Dahpale kuna majengo ya ttcl, ofisi kama ofisi nakataa! tatizo la finger print tu iliandikwa emai kwenda head office na nikaambiwa niende kesho yake kwa majibu, utasema kuna ofisi hapo?
Habari yako Mr. Kamugisha.
Je, unapata tatizo lipi unapotumia huduma za TTCL?
Ooh pole sanaInternet inaload tu uwezi hata fungua You tube, uwezi soma email, ipo slow uku mikoani, yaani ukitoka nje ya mji kidigo TTCL ndio bye bye, vijijini ukija na line ya TTCL unakuwa umefanya kazi bure
Cha kushangaza mitandao mingine inapata huduma toka kwenu na inafanya vizuri ila nyie sasa dah!!
Acha tu tuendelee kuwaombea
Tunatamani tubaki na line moja ya TTCL ila sasa mnatukatisha tamaa!!
Hili ni shirika la taifa. Hahaha so mawasiliano ni kama barabara, huduma za maji safi na salama, matibabu. ShuleTTCL mnabagua baadhi ya Maeneo hakuna huduma
Ndugu Dj Composer tunaomba utufahamishe changamoto unayoipata pindi utumiapo huduma za TTCL.TTCL mnabagua baadhi ya Maeneo hakuna huduma