Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
CatMkuu hiyo ny*u au ko.nyo au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CatMkuu hiyo ny*u au ko.nyo au?
Titicielo...Dah, nani nyau?
Ahahaaa....hvyohvyo mkuuMkuu hiyo ny*u au ko.nyo au?
Mbona TTCL wapo vizuri tu.Titicielo...
Naomba Rudisheni kifurishi cha night toboa pack cha 10gb usiku kwa tshs 1000 na boom pack ya siku 600mb kwa tshs 500.Baada ya maboresho ya vifurushi ni changamoto ipi unayopata?
KUMBUKA
[emoji654][emoji654]Je, una ushauri wowote baada ya kuona mabadiliko ya vifurushi?
[emoji654][emoji654]Je, una tatizo la kushindwa kutuma SMS au calls?
Karibu nikuhudumie
Rudi Nyumbani KumenogaView attachment 1545053
Pole sana.Ttcl hamko serious na vifurushi vyenu.
Nilikuwa na laini yenu nikasema leo niweke ni jaribu.
Nikanunua bando la bandika bandika bandua.
Tatizo masharti yenu yamenishinda .
Mnatoa gb 4.
Lakini mmeweka limit mchana mb 500.
Alafu usiku kuanzia saa 6 mpaka saa 12 asubuhi ndo unatumia gb 3.5.
Haya masharti kwa kweli ni magumu
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Pole sana.
Tupo kwenye maboresho ya vifurushi vipya ambavyo vitampa uhuru mteja wetu.
Natumaini utavifurahia.
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu maana ulipo, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate msaada toka kwa wakala wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza.
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Zifuatazo ni ofisi zetu za huduma kwa wateja ndani ya jiji la Dar es Salaam.
1. POSTA
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Samora, jengo la Extelecom ghorofa la Chini.
2. KARIAKOO
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Makamba/Msimbazi, jengo la Akamba Bus Service.
3. UPANGA
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Magole/Maliki, karibu na Diamond Jubilee.
4. MAGOMENI
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Minaki/Fundiki, karibu na Manispaa ya Kinondoni.
5. KIJITONYAMA
[emoji654][emoji654][emoji654]Kijitonyama Sayansi, barabara ya Ali Hassan Mwinyi/ Rose Garden.
6. OYSTERBAY
[emoji654][emoji654][emoji654]Barabara ya Haile Selassie.
7. UBUNGO
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Ubungo Plaza/ Ghorofa la chini.
8. MBEZI BEACH
[emoji654][emoji654][emoji654]Mbezi Makonde/ Jengo la Shamo Tower.
9. TABATA
[emoji654][emoji654][emoji654]Tabata Bima, barabara ya Segerea karibu na kanisa la Romani Katoliki.
10. CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.
[emoji654][emoji654][emoji654]Jirani na tawi la benki ya NBC, jirani na kilipo kituo cha polisi cha UDSM.
11. BARABARA YA PUGU
[emoji654][emoji654][emoji654]Barabara ya Mwalimu Nyerere, karibu na Sigara.
12. WAGENI
[emoji654][emoji654][emoji654]Uwanja wa ndege.
13. PUGU
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Quality Centre, ghorofa la chini.
14. KISUTU
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Mchafukoge/Libya jengo la Haad Plaza.
15. TEGETA SHOP
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Kibo Complex, ghorofa la chini.
16. MWANANYAMALA SHOP
[emoji654][emoji654][emoji654]Mwananyamala A, barabara ya Mwinjuma yalipo makutano ya Mwananyamala A.
17. KURASINI
[emoji654][emoji654][emoji654]Kurasini Exchange Area, jirani na Chuo cha Diplomasia.
Wasiliana nasi:
[emoji337]022 210 0100
[emoji390] 0738 151 511
[emoji273]www.ttcl.co.tz
#RudiNyumbaniKumenoga
View attachment 1529645
Karibu.
Rudi Nyumbani Kumenoga
Kwa sasa tupo halotel.. mkirekebisha bando mtujulishe turudi, msichelewe sana tusije kuwasahau.Jongea Maeneo ya Viwanja vya Social Center - SINGIDA-Mjini ukiwa na kitambulisho cha Taifa ilikuweza Kusajiliwa Laini yako mpya Au ya Zaman ya TTCL Co-orporation
# rudinyumbanikumenoga ufurahie ofa Kubwa ya Dk, sms na Gb za KutoshaView attachment 1550013View attachment 1550015View attachment 1550016View attachment 1550017
Rudi Nyumbani KumenogaKwa sasa tupo halotel.. mkirekebisha bando mtujulishe turudi, msichelewe sana tusije kuwasahau.
Haturudi mpaka kieleweke ..Rudi Nyumbani Kumenoga
Kuwa mzalendo.Haturudi mpaka kieleweke ..
Tutarudi bei ikipungua kwa sasa tigo na vodacom hawana tofauti katika package zao nipo huku kwa sasa .Kuwa mzalendo.
Rudi Nyumbani KumenogaTutarudi bei ikipungua kwa sasa tigo na vodacom hawana tofauti katika package zao nipo huku kwa sasa .
Kwahiyo huko ndiyo kuna watumiaji wengi?Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) Dkt Zainabu Chaula akiongozana na Mkurugenzi Mkuu TTCL Corporation Waziri Kindamba na Mtendaji Mkuu wa UCSAF Justina Mashiba watembelea ujenzi wa minara ya mawasiliano katika kisiwa cha Rubondo katika eneo la hifadhi Pongo View na Kijiji cha Bulongero ambapo mawasiliano yanategemewa kuwashwa hivi karibuni.
Sehemu ambayo minara itazinduliwa na kuwashwa kwa kasi ya spidi kali ya 4.5G ni pamoja na:
[emoji819]Chato
[emoji819]Bukome
[emoji819]Igando
[emoji819]Nyabilezi
[emoji819]Bwera.
Rudi Nyumbani Kumenoga.View attachment 1554384View attachment 1554385
Mnazingua kishenzi yaani.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) Dkt Zainabu Chaula akiongozana na Mkurugenzi Mkuu TTCL Corporation Waziri Kindamba na Mtendaji Mkuu wa UCSAF Justina Mashiba watembelea ujenzi wa minara ya mawasiliano katika kisiwa cha Rubondo katika eneo la hifadhi Pongo View na Kijiji cha Bulongero ambapo mawasiliano yanategemewa kuwashwa hivi karibuni...