Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Basi endeleeni kusubiri, mpaka watakapopata nafasi.Kwamba mwamba kiherehere kimezidi sio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi endeleeni kusubiri, mpaka watakapopata nafasi.Kwamba mwamba kiherehere kimezidi sio.
Ofa ipi?Rudisheni ofa ile ya mwanzo acheni ubabaishaji
KipoKifurushi cha usiku cha GB 10 KIPO?
hakipoKipo
Bandika bandua GB 10 kwa 2.5khakipo
AiseeSijacheki tena ila kama mmerudisha kwa hiyo 2500 basi endeleeni kuweka hivyo hivyo 2500 maana kama Halotel na Airtel wana 4G wanafanya 1500 basi nyumbani kutanoga zaidi maana kupanga ni kuchagua..
Ukisema juu una maana gani mpwa? Maana TTCL Ina market share ya 1 percent ( TCRA) IMEPITWA kwa mbali na kampuni za juzi juzi tu Tena za kihuni.TTCL itabaki kuwa juu
Acha kupotosha mpuuzi wewe.Imekula kwenu mliozoea kutukana ovyoView attachment 1573690
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu maana ulipo, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate msaada toka kwa wakala wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza.
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Zifuatazo ni ofisi zetu za huduma kwa wateja ndani ya jiji la Dar es Salaam.
1. POSTA
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Samora, jengo la Extelecom ghorofa la Chini.
2. KARIAKOO
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Makamba/Msimbazi, jengo la Akamba Bus Service.
3. UPANGA
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Magole/Maliki, karibu na Diamond Jubilee.
4. MAGOMENI
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Minaki/Fundiki, karibu na Manispaa ya Kinondoni.
5. KIJITONYAMA
[emoji654][emoji654][emoji654]Kijitonyama Sayansi, barabara ya Ali Hassan Mwinyi/ Rose Garden.
6. OYSTERBAY
[emoji654][emoji654][emoji654]Barabara ya Haile Selassie.
7. UBUNGO
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Ubungo Plaza/ Ghorofa la chini.
8. MBEZI BEACH
[emoji654][emoji654][emoji654]Mbezi Makonde/ Jengo la Shamo Tower.
9. TABATA
[emoji654][emoji654][emoji654]Tabata Bima, barabara ya Segerea karibu na kanisa la Romani Katoliki.
10. CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.
[emoji654][emoji654][emoji654]Jirani na tawi la benki ya NBC, jirani na kilipo kituo cha polisi cha UDSM.
11. BARABARA YA PUGU
[emoji654][emoji654][emoji654]Barabara ya Mwalimu Nyerere, karibu na Sigara.
12. WAGENI
[emoji654][emoji654][emoji654]Uwanja wa ndege.
13. PUGU
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Quality Centre, ghorofa la chini.
14. KISUTU
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Mchafukoge/Libya jengo la Haad Plaza.
15. TEGETA SHOP
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Kibo Complex, ghorofa la chini.
16. MWANANYAMALA SHOP
[emoji654][emoji654][emoji654]Mwananyamala A, barabara ya Mwinjuma yalipo makutano ya Mwananyamala A.
17. KURASINI
[emoji654][emoji654][emoji654]Kurasini Exchange Area, jirani na Chuo cha Diplomasia.
Wasiliana nasi:
[emoji337]022 210 0100
[emoji390] 0738 151 511
[emoji273]www.ttcl.co.tz
#RudiNyumbaniKumenoga
View attachment 1529645
Karibu.
Rudi Nyumbani Kumenoga
Asante kwa ushauri wako ndugu mteja.Utaratibu wa kuangalia salio kwenye line zenu mrefu mno moaka unachosha inakuwa kama unaomba kazi maswali mengiiiiii! Kwanini isiwepo code moja tu kama tigo *102*01 inakupa aina zote za salio alilonalo mteja badala ya kujibu maswali mengi kama vile unajaza kufurushi