TTCL Customer Care
Official Account
- Aug 18, 2016
- 279
- 317
- Thread starter
- #1,941
Habari, Ahsante kwa kuwasiliana nasi.Tumepokea ushauri wako na tunaufanyia kazi.Wekeni
Hebu wekeni T-Connect Plus ya mwezi inayoleta mantiki hata kama ni equivalent to weekly bundle manake ni ujinga kifurushi cha wiki kuwa Sh.10,000 kwa GB10 halafu kifurushi cha mwezi kuwa Sh 70,000 GB40 au eti GB15 kwa Sh 30,000...
Ahsante