Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Mkurugenzi wa T-PESA, Bi. Lulu Mkudde.Huyo dada mweupe mwenye mawani anaitwa nani?
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkurugenzi wa T-PESA, Bi. Lulu Mkudde.Huyo dada mweupe mwenye mawani anaitwa nani?
Ova
ANA MUME ?Madam T-PESA
Bibie Yaliyomo YamoMkurugenzi wa T-PESA, Bi. Lulu Mkudde.
Tanzania Nchi NNgumu SanaANA MUME ?
KAMA ANA MUME MIMI NAMTAKA HIVYO HIVYO, HUYO MUMEWE ATATAFUTIWA MKE MWINGINE. SAWA ?
Hadi tupate Katiba Mpya huenda ikawa rahisiTanzania Nchi NNgumu Sana
Si mchzMkurugenzi wa T-PESA, Bi. Lulu Mkudde.
Mwandiko Kama Yule Jamaa Wa PM Saa 12 AsubuhiMtaitumia wenyewe hapo ofisini
Ahsanteni.
ndo Mkuu wa T Pesa jina lake linaanzia na L..Huyo dada mweupe mwenye mawani anaitwa nani?
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Madam T-PESA
Ili tukituma pesa mpeleke Taarifa Kwa bwana zenu Policcm? Tutatafuta njia nyingine nyie endeleeni na usalama fake wa Taifa.UZINDUZI WA T-PESA APP:
T-PESA yazindua huduma ya T-PESA App ikiwa ni katika kuendelea kurahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali za kifedha. Sasa ni rahisi na Salama ukiwa na T-PESA App. #NafuunaSalama
#RudiNyumbaniKumenoga
View attachment 1997356
View attachment 1997359
View attachment 1997362
View attachment 1997364
Kweli uzuri wa mtu upo machoni kwa mtu mim namuona mchovu tuSi mchz
Aise,ananikoshaga sana
Ova
Naomba niwashauri kitu. Mjitahidi kutanua huduma zenu na kujitangaza ipasavyo.UZINDUZI WA T-PESA APP:
T-PESA yazindua huduma ya T-PESA App ikiwa ni katika kuendelea kurahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali za kifedha. Sasa ni rahisi na Salama ukiwa na T-PESA App. #NafuunaSalama
#RudiNyumbaniKumenoga
View attachment 1997356
View attachment 1997359
View attachment 1997362
View attachment 1997364
Hongereni na kila la kheri mtakaojiunga na kamari ya TTCL!! Wameshindwa kuhudumia wateja kwenye vitu vidogo kabisa kama kuunga vifurushi vya sms, internet...ndiyo wataweza miamala!!? Wataweza kushindana na wazee wa "ile pesa nitumie kwa namba..."UZINDUZI WA T-PESA APP: