TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Ndo uandike HATIMAYE? Kwamba ilikuwa ni shughuli pevu kwenu na mmeisubiria kwa muda mrefu hadi kukamilka kwake.

Pongezi kwenu kwa hatua hiyo.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Serikali ya CCM inataka watu wakafanye kazi na siyo kushinda mtandaoni.
Kuna tetesi kuwa 1GB itauzwa kwa 10,000.
Yajayo yanafurahisha. Kazi iendelee
Tunahitaji huduma ya mabando mmseme mrahisisha upatikan wa mabando 10GB kwa elf 5
 
Huu utemi sasa
Acha uhuni tafuta mke wako
Pumbavu kabsaaa ndiyo tabia zenu
Hata wewe kama una mke mzuri, usisite kuniona nimchukue huyo mke wako, wewe utapewa mke mwingine na fedha kidogo ya kukupunguzia maumivu.
 
Naomba niwashauri kitu. Mjitahidi kutanua huduma zenu na kujitangaza ipasavyo.
Ikiwezekana shusheni bei ya vifurushi vyenu, na pia kuhamasisha huduma yenu ya T - Pesa, ambayo kimsingi inasua sua sana ukilinganisha na Mpesa, tigo pesa, Airtel money na pia halopesa!

Nasema hivi kwa sababu nimeanza biashara ya miamala! Ukiondoa kuyumba kwa biashara kutokana na changamoto ya serikali kuongeza tozo kwenye miamala, wenzenu wanapata wateja. Ila TTCL Tanzania hakuna kabisa wateja!

Mnakosea wapi? Mnashindwa vipi na Wageni! Ilhali nyinyi ni wenyeji na mko chini ya serikali! Kimsingi mnatakiwa muwe na nguvu, mfanye zaidi biashara na kujulikana zaidi kuliko haya makampuni ya Mabeberu.[/I]

Seen
 
naomba kujua huduma ya kuwaunganishia watu internet ( Fiber) walipe kwa mwezi imefikia wapi?
Naona ndio system reliable na ya uhakika ya kujipatia mapato kuliko kushindana na hawa wengine walio jipambanua.
Kama hamna budget nafikiri mnaweza kutangaza gharama kwa maeneo ikijumlisha gharama za kufungiwa baadae mtu atakata gharama zilizotumika zikimalizika mnaanza kukusanya mapato.
Muhimu: Toeni taarifa watu wajue kinachoendelea; wengine walishalipia mmenyamaza kimya; Sio Afya kwa shirika!
 
Hii uduma ipo Dar
 
Inamaana kwa miaka yote hiyo tangu Mkongo wa taifa umekuja bado mpo Dar pekee; tatizo ni nini?
Nimaeneo gani ya Dar mnayopaikana/mnayounganishia wateja?
Mtu akiomba anatakiwa awe ameunganishwa ndani ya muda gani?
Wewe upo wap mzee?
 
Back
Top Bottom