Upo dar au mkoani?Mkuu mbona umeguna??
Huwa ni 50k umeme ukikata nacho kinakataNa je kifurushi cha 70,000 unlimited unaweza connect watu wangapi??
Nataka kufanya MAOMBI.
Maana hawa Savanna eneo nilipo huduma bado haijafika
Bora tu ununue airtel dongle hawa jamaa wako slow. Mimi natumia airtel mwaka wa 2. Last month nilikutana na ttcl mtaani kwangu nikawauliza wakasema kwa sasa wana upgrade mfuno wao kutoka ule wa zamani ambapo waya mmoja ulikuwa unahudumia mtu mmoja kwenda waya mmoja kuhudumia watu wengi so ni subiri. Nnapenda fiber kwa sababu ya slow latecy ila ndo hivyo kwa sasa nakomaa na airtel na speed yao ni poa tu.Na je kifurushi cha 70,000 unlimited unaweza connect watu wangapi??
Nataka kufanya MAOMBI.
Maana hawa Savanna eneo nilipo huduma bado haijafika
70K hata watu 50-100 mnatumia matumizi ya kawaidaNa je kifurushi cha 70,000 unlimited unaweza connect watu wangapi??
Nataka kufanya MAOMBI.
Maana hawa Savanna eneo nilipo huduma bado haijafika
Airtel labda usiwe mtu wa ku upload vitu kwenye mtandaoBora tu ununue airtel dongle hawa jamaa wako slow. Mimi natumia airtel mwaka wa 2. Last month nilikutana na ttcl mtaani kwangu nikawauliza wakasema kwa sasa wana upgrade mfuno wao kutoka ule wa zamani ambapo waya mmoja ulikuwa unahudumia mtu mmoja kwenda waya mmoja kuhudumia watu wengi so ni subiri. Nnapenda fiber kwa sababu ya slow latecy ila ndo hivyo kwa sasa nakomaa na airtel na speed yao ni poa tu.View attachment 3648979
Ni siku moja,vifurushi unaweza kuconnect watu idadi yoyote ile,isipokuwa hoja ni matumizi yenu yakoje.Mimi natumia cha 55,000 na tunatumia kwa kufanya kila kitu na kipo ok tuNa je kifurushi cha 70,000 unlimited unaweza connect watu wangapi??
Nataka kufanya MAOMBI.
Maana hawa Savanna eneo nilipo huduma bado haijafika
Mkuu si mweli na asilimia kubwa upload speed ni kubwa kuliko download speedAirtel labda usiwe mtu wa ku upload vitu kwenye mtandao
Ungekuwa na mtandao wa Yas na Airtel uanze ku upload kitu uone upi unapeleka harakaMkuu si mweli na asilimia kubwa upload speed ni kubwa kuliko download speed View attachment 3649328
Ila pia nadhani inategemea eneo mtu aliko
Na je kifurushi cha 70,000 unlimited unaweza connect watu wangapi??
Nataka kufanya MAOMBI.
Maana hawa Savanna eneo nilipo huduma bado haijafika
Mimi ni nona makazi 2, nakoishi sana hakuna fiber hiyo ttcl imeishia mahali pa waziri fulani ndio maana natumia airtel router... Halafu makazi mengine yalipo kuna fiber natumia ya Yas naelekea mwaka wa tatu. Fiber iko stable. But still kama unapoishi hakuna hakuna watumiaji wengi wa hivyo virouter vinajitahidi. Huwa na uploads files unakuta file ina mb 300 mpaka 1.5gb unakuta kwa siku na upload kati ya files 5-12 na inachukua muda wa kawaida tu mkuu.Ungekuwa na mtandao wa Yas na Airtel uanze ku upload kitu uone upi unapeleka haraka
Nimekupata 👍Mimi ni nona makazi 2, nakoishi sana hakuna fiber hiyo ttcl imeishia mahali pa waziri fulani ndio maana natumia airtel router... Halafu makazi mengine yalipo kuna fiber natumia ya Yas naelekea mwaka wa tatu. Fiber iko stable. But still kama unapoishi hakuna hakuna watumiaji wengi wa hivyo virouter vinajitahidi. Huwa na uploads files unakuta file ina mb 300 mpaka 1.5gb unakuta kwa siku na upload kati ya files 5-12 na inachukua muda wa kawaida tu mkuu.
Ila bado napenda fiber kwa sababu iko stable na inakuwa na latency ndogo