TTCL FIBE wanachukua mda gani mpaka kuja kufunga?

TTCL FIBE wanachukua mda gani mpaka kuja kufunga?

70K hata watu 50-100 mnatumia matumizi ya kawaida

Kuhusu kukufungia hapo ni bahati yako, ukiwa mjanja na kuwasumbua hata wiki otherwise unaweza kukaa miaka hao jamaa wasije kufunga.
Ngoja nipewe majini kulingana na kifurushi nilichoomba.nianze kuwasumbua sasa
 
Kama wameshaweka miundombinu yao na inafanya kazi, tafuta mtu wa mawakala wao aje kukufungia. Ila endapo kama miundombinu hakuna, usijisumbue tu mkuu.
 
Kama wameshaweka miundombinu yao na inafanya kazi, tafuta mtu wa mawakala wao aje kukufungia. Ila endapo kama miundombinu hakuna, usijisumbue tu mkuu.
Miundo mbinu ipo hapa jirani hatua 2 tu na nilipo boss
 
Back
Top Bottom