My mee Senior Member Joined Jan 23, 2025 Posts 150 Reaction score 376 Aug 13, 2026 Thread starter #21 Chief-Mkwawa said: 70K hata watu 50-100 mnatumia matumizi ya kawaida Kuhusu kukufungia hapo ni bahati yako, ukiwa mjanja na kuwasumbua hata wiki otherwise unaweza kukaa miaka hao jamaa wasije kufunga. Click to expand... Ngoja nipewe majini kulingana na kifurushi nilichoomba.nianze kuwasumbua sasa
Chief-Mkwawa said: 70K hata watu 50-100 mnatumia matumizi ya kawaida Kuhusu kukufungia hapo ni bahati yako, ukiwa mjanja na kuwasumbua hata wiki otherwise unaweza kukaa miaka hao jamaa wasije kufunga. Click to expand... Ngoja nipewe majini kulingana na kifurushi nilichoomba.nianze kuwasumbua sasa
My mee Senior Member Joined Jan 23, 2025 Posts 150 Reaction score 376 Aug 13, 2026 Thread starter #22 fimboyaukwaju said: Ni siku moja,vifurushi unaweza kuconnect watu idadi yoyote ile,isipokuwa hoja ni matumizi yenu yakoje.Mimi natumia cha 55,000 na tunatumia kwa kufanya kila kitu na kipo ok tu Click to expand... Sawa.ntawasumbua sana mpaka wafike
fimboyaukwaju said: Ni siku moja,vifurushi unaweza kuconnect watu idadi yoyote ile,isipokuwa hoja ni matumizi yenu yakoje.Mimi natumia cha 55,000 na tunatumia kwa kufanya kila kitu na kipo ok tu Click to expand... Sawa.ntawasumbua sana mpaka wafike
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 24,239 Reaction score 43,082 Aug 13, 2026 #23 Kama wameshaweka miundombinu yao na inafanya kazi, tafuta mtu wa mawakala wao aje kukufungia. Ila endapo kama miundombinu hakuna, usijisumbue tu mkuu.
Kama wameshaweka miundombinu yao na inafanya kazi, tafuta mtu wa mawakala wao aje kukufungia. Ila endapo kama miundombinu hakuna, usijisumbue tu mkuu.
My mee Senior Member Joined Jan 23, 2025 Posts 150 Reaction score 376 Aug 14, 2026 Thread starter #24 Aleyn said: Kama wameshaweka miundombinu yao na inafanya kazi, tafuta mtu wa mawakala wao aje kukufungia. Ila endapo kama miundombinu hakuna, usijisumbue tu mkuu. Click to expand... Miundo mbinu ipo hapa jirani hatua 2 tu na nilipo boss
Aleyn said: Kama wameshaweka miundombinu yao na inafanya kazi, tafuta mtu wa mawakala wao aje kukufungia. Ila endapo kama miundombinu hakuna, usijisumbue tu mkuu. Click to expand... Miundo mbinu ipo hapa jirani hatua 2 tu na nilipo boss
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 24,239 Reaction score 43,082 Aug 14, 2026 #25 My mee said: Miundo mbinu ipo hapa jirani hatua 2 tu na nilipo boss Click to expand... Basi Mkuu kuna unafuu, hapo tafuta tu wale jamaa agent wao, hapo dakika 0 tu.
My mee said: Miundo mbinu ipo hapa jirani hatua 2 tu na nilipo boss Click to expand... Basi Mkuu kuna unafuu, hapo tafuta tu wale jamaa agent wao, hapo dakika 0 tu.