Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
sio takataka si kweli hii SUPAKASI tulianza kutumia miaka kama miaka 4 au 3 iliyopita mwaka 2019 kipindi hicho kulikuwa na ofa ya elf 60 na ofa ya laki na 20 hiviUnatumia utakavyo ni unlimited. Tumwahi tumia ofisi kwenye kama mwaka mzima hivi ila kuliko hiyo superkasi ni bora utafute fiber iliyopo karibu tu.
Superkasi ni takataka
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
hiyo ofa ya laki mnapewe na namba 5 za VODA kupigiana wenyewe kwa wenyewe free
sema yule mdau alochukua ubia na voda akakosa wateja akashindwa huduma ikasuasua tulikuwa tunalipa elf 60 na tulipewa ki MI-FI cha ALCATEL mpk leo kipo
baada kufatilia mbna huduma imekata ghafra VODA ndio wakatuambia sisi hatuhusiki sisi yule tumeingia nae mkataba so tumtafute yule alotuletea kutuunga tulivyochunguza ikaonekana alishindwa kuwalipa VODA sijui wenyewe walikuwa wanalipanaje sijui mana hata mwaka haikudumu
tukapotetezea tukawa tupo na TTCL ila ilikuwa miyeyusho tu
Mwaka jana mwishoni ikafufuka ikaja na hivyo inajiita SUPAKASI nahisi kuna mbia mwingine wameingia nae
Boss nikamtonya akaenda kulipa kama laki 3 hivi na ushee wakatufungia HUAWEI ROUTER na kiantena fulani hivi cha uzushi
basi bana tangu hapo MWENDO MDUNDO haijawahi kutuangusha
labda uniambie kama ulipo ipo ZUKU
Ni kweli ZUKU ni bora kuliko SUPAKASI
7bu ofisi nyingine tumefunga ZUNGU ipo eneo amabalo tuna ACCESS ya ZUKU
TTCL nzuri lakini wale jamaa hawako serious simshauri mtu aende TTCL ni ushuzi flani hivi
HALAFU ZUKU now ishafika MAKUMBUSHO STAND soon tu itafika SINZA tuenjoy