Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbps (Megabits per second / Megabits kwa sekunde)Nimeunganisha internet ya TTCL ya Adsl na niliwaambia wanipe package ya 25k ya mb 4 nikamuuliza muunganishaji kwa uhalisia hizo mb 4 zinafika? Akajibu ni 2 au 3. Ila tangu waniungie nadownload kwa idm haijawahi kuvuka kb500. Nimewasiliana nao ila majibu yao eti speed itajiongeza yenyewe. Naogopa kulipia 50k isije ikawa speed ni ileile. Au kama kuna mtaalam wa mambo hayo anipe mwongozo.
me nmeanza na cha 50 sio kibaya na tka nijaribu cha 80 hiki kikiishajua tofauti ya
1.Mbps (Mega bits kwa sekunde)
2.MBps (Mega bytes kwa sekunde)
spidi yao inapimwa kwa megabits, sio megabytes tulizozoea kuziita MB.... Hizo Mb za herufi ndogo ni megabits na ili upate speed yake kwa Mega bytes kwa njia rahisi ya makadirio ni kugawanya kwa 10..
Hio 4 Mbps / 10 = 0.4 MBps (Kilobytes 400 kwa sekunde)
Kwahio wala huna cha kulalamika kuhusu speed kitofika 500 knps
cha 50 kwa fiber ni 10 (Mbps) Megabits kwa sekunde. ukizileta ziwe Megabytes zile za kudownload hapo unaweza kushusha MB 1.25 kwa sekunde.. ni speed nzuri tu wala haina shida na unaweza kustream vizuri tu.me nmeanza na cha 50 sio kibaya na tka nijaribu cha 80 hiki kikiisha
Madini tupu.-Mbps - hii inatumika kupima speed ya internet kwa wanaotoa huduma ya internet kama ttcl.
-MBps - hizi ndio MB tulizozoea, zina herufi kubwa MB huwa tunaziona tunapo download mafaiki,
Speed unayoiona pale ttcl ni Mb sio MB tuliyozoea, hivyo ukiona ni 4 Mbps usifikiri kwamba ni speed ya kudownload MB hizi tulizozoea
Mb (Megabits) hizi za herufi ndogo ni megabits na ili upate speed yake kwa Megabytes (MB)
1 Mbps = 0.125 MBps
kwa hio hicho kifurushi cha 4 Mbps ukizidisha kwa 0.125 unapata speed ya kudownload 0.460 MBps (460 KBps)
Kwahio wala huna cha kulalamika.
Kwenye fiber yao ya chini kabisa ni 10 Mbps ambazo ni 1.250 MBps speed ya kudownload.
Wapigie simu namba iko hapoInstallation gharama kiasi gani Mkuu?
Kila kitu kiko sawa, live streaming haigandi ila sijajaribu 1080p tu. Inapokuja swala la kudownload file kubwa ndo inabidi kusubiri, na files nyingi ninazodownload zinaanzia 2gb hadi gb7. Kuna kipindi idm ilisoma 1Mb ndani ya sekunde kadhaa na kurudi hiyo kb500 haijarudia tena. Nitajaribu kuhamia kifurushi cha 50k nione.Idm ni 500 kilobytes na hio wanayosema 4mbps ni 4 megabits.
Byte 1 ni bits 8.
500KB x8 ni approximate 4mbps.
Hivyo speed unayopata ni sawa.
Youtube si unapata 720p fresh?
Mkuu asante kwa maelezo yako nimeelewa, mwanzo ilikuwa inanichanganya.-Mbps - hii inatumika kupima speed ya internet kwa wanaotoa huduma ya internet kama ttcl.
-MBps - hizi ndio MB tulizozoea, zina herufi kubwa MB huwa tunaziona tunapo download mafaiki,
Speed unayoiona pale ttcl ni Mb sio MB tuliyozoea, hivyo ukiona ni 4 Mbps usifikiri kwamba ni speed ya kudownload MB hizi tulizozoea
Mb (Megabits) hizi za herufi ndogo ni megabits na ili upate speed yake kwa Megabytes (MB)
1 Mbps = 0.125 MBps
kwa hio hicho kifurushi cha 4 Mbps ukizidisha kwa 0.125 unapata speed ya kudownload 0.5 MBps (500 KBps)
Kwahio wala huna cha kulalamika.
Kwenye fiber yao ya chini kabisa ni 10 Mbps ambazo ni 1.250 MBps speed ya kudownload.
Kwa cha 50k idm itasoma 1MBpsKila kitu kiko sawa, live streaming haigandi ila sijajaribu 1080p tu. Inapokuja swala la kudownload file kubwa ndo inabidi kusubiri, na files nyingi ninazodownload zinaanzia 2gb hadi gb7. Kuna kipindi idm ilisoma 1Mb ndani ya sekunde kadhaa na kurudi hiyo kb500 haijarudia tena. Nitajaribu kuhamia kifurushi cha 50k nione.
1084k ni sh ngap?Connect kimbembe kipo kwenye installation costs ambazo nilipewa invoice ya Tzs 1084k.
Hii zuku inaishia ushuani huko,huku uswazi mje ya mji hawana coverageUliwahi niambia kitu kuhusu zuku. Hakika hujakosea.
Tunalipia up to 40mbps kwa 129k , hii kitu ina speed ya kufa mmasai.
Kudownload vigb kama kunusa tu. View attachment 2196669
So hawa wa kutumia satelite hadi nje ya mji wanaweza wakawa wanafikaConnect 16
0763 476 565
Gharama zao unalipia kifurushi 70000 wanafunga device zao wenyewe
Sisi tumefunga cha 150,000 speed si mbaya.
Wanatumia sat
Siyo kweli, SupaKasi ni unlimited kweli.Hamnaga kitu kama unlimited kwa pesa hizo! Tena hao Voda ndio matapeli kabisa
Wako vizuri na hawana longo longo, ninatumia kifurushi cha 40Mbps kutoka TTCLTTCL wako vizuri speed? Hawana longo longo?
Dar es SalaamUpo wapi?
Connect 16 vifaa vyao bure kabisaConnect kimbembe kipo kwenye installation costs ambazo nilipewa invoice ya Tzs 1084k.