Kernel
Member
- Aug 15, 2019
- 41
- 29
Hii mbps ngapi unapata mkuu ??Mi niliweka Adsl ya 25,000 mkuu, Fiber ninayo ya Zuku.
Mimi nina namba ya jamaa anaefanya survey mitaa ya kwetu unawasiliana nae anatafuta mda anakuja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mbps ngapi unapata mkuu ??Mi niliweka Adsl ya 25,000 mkuu, Fiber ninayo ya Zuku.
Mimi nina namba ya jamaa anaefanya survey mitaa ya kwetu unawasiliana nae anatafuta mda anakuja.
-Konnect 20 - unlimited with 20/3 Mbps = 60,000 TshMbona hawapo bongo hawa, Mnatuchanganya..!
View attachment 2197967
Tatizo lao ukivuka gb fulani wanashusha spidi hadi 1mbpsNdio udhaifu wa fiber. Sisi tupo mikocheni ,tangu zangu wazindue huku nadhani hata miezi 6 haijafika. Ila kuna hawa Connect wanajinasibu sana nao. Na wanadai wamefika tanzania nzima
![]()
Satellite Internet Packages| Konnect Africa
Discover Konnect satellite internet packages for your home or business. Explore our fast, easy to install and affordable offers.africa.konnect.com
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Wajaribu gofiberHawa Konnect tangu waniambie kuwa kit yao ni $699 na bado kuna installation fee (nadhani), nikabidi nitulie tu nisubiri; labda ipo siku Zuku itachipukia mtaani mwangu au TTCL.
Boss naomba namba ya mtu wa survey nicheki nipo Sinza kwa Remmy kama anaweza kuja. Ntajaribu kutuma msg kwako nashindwaMimi kwenye Fiber hio ping tu ndio naipenda, unaangalia Mpira sometime unasahau kabisa kama unatumia Internet, nikiwa na zuku ni Full HD.
Hawa coverage yao ipoje mkuu, am impressed!
TTCL adsl ni 4mbps mkuu, ila pia wana 8 na 12mbps.Hii mbps ngapi unapata mkuu ??
699$ kit + Installation .Hawa Konnect tangu waniambie kuwa kit yao ni $699 na bado kuna installation fee (nadhani), nikabidi nitulie tu nisubiri; labda ipo siku Zuku itachipukia mtaani mwangu au TTCL.
Ofisi ipo Mikocheni B, binafsi naishi BagamoyoUpo Wapi Boss
Shukuran mkuuOfisi ipo Mikocheni B, binafsi naishi Bagamoyo
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Tatizo price zao wanaficha ficha, hiyo ya 12mbps una weza guess price range ??TTCL adsl ni 4mbps mkuu, ila pia wana 8 na 12mbps.
4mbps ni 25000Tatizo price zao wanaficha ficha, hiyo ya 12mbps una weza guess price range ??
Okey safi hii yenyewe.Safi
Wapigie simu
okey thanks.. voda wana toa now offer ya (supa kasi) 20mbps kwa 115K msimu huu wa eid, but ni postpaid service...TTCL adsl ni 4mbps mkuu, ila pia wana 8 na 12mbps.
Si mbaya mkuu kama upo eneo ambalo halina Fiber.okey thanks.. voda wana toa now offer ya (supa kasi) 20mbps kwa 115K msimu huu wa eid, but ni postpaid service...
Nilifika office kwao wakaniambia hicho kifurushi wamekisimamisha mana kilikuwa kinasumbua. Je walisharudisha? Kuna gharama inaongezeka kwenye kujiunga na hiki kifurushi?Unlimited ni nzuri mkuu, hayo ya luku unaweza ukalia, mimi mwezi wa pili sasa natembea na TTCL ya 25,000 ukipanga GB zako kadhaa asubuhi zimeisha. Maisha yanaenda.
Sidhani kama ni kweli, issue ni kwamba walikuwa hawana Router, ongea na fundi ama kanunue mwenyewe router, kifurushi kipo vile vile.Nilifika office kwao wakaniambia hicho kifurushi wamekisimamisha mana kilikuwa kinasumbua. Je walisharudisha? Kuna gharama inaongezeka kwenye kujiunga na hiki kifurushi?