TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Sidhani kama ni kweli, issue ni kwamba walikuwa hawana Router, ongea na fundi ama kanunue mwenyewe router, kifurushi kipo vile vile.
Mkuu naomba Namba ya mtu survey wa Ttcl nishajaza form Yao ila najua itachukua muda...Nimpe hela ya maji..Nipo Mwenge
 
Vyote unlimited hata cha 25, unapimiwa tu speed ila kudownload unadownload kadri ya uwezo wako.
cha 50 na 80 speed imetofautiana sana ? namaanisha km umetumia umeona utoafauti najua ni mbps8 kwa kwa 12
 
Cha 50 kina value zaidi, na inategemea na matumizi, kama ni media vitu kama movie, kuangalia mpira, youtube etc. Hutoona utofauti baina ya 12 na 8 sababu 8 tayari inastream Full HD. Kwa Full HD unahitaji 5mbps tu kwenye popular site kama Youtube, Netflix na wengineo hivyo 8 inatosha.

Kuanzia 25mbps ndio unastream 4k.

Pia ukigawanya hapo,
50,000 gawanya 8 ni 6250
80,000 gawanya 12 ni 6666

Hivyo cha 50,000 ni rahisi zaidi kwa Mbps unazopata tofauti na 80,000
 
shukran sana nimekusoma vizuri
 
Nashukuru wote uzi wangu umekua na msaada
 
Connect 16

0763 476 565

Gharama zao unalipia kifurushi 70000 wanafunga device zao wenyewe

Sisi tumefunga cha 150,000 speed si mbaya.

Wanatumia sat
Tumia online speedtest tutumie screenshot tukicheck actual speed yake..................tukifanya comparison na bei inaweza kuwa best option kwenda nayo
 
Voda ipo mzee sisi tunatumia ofisini huu unaenda MWAKA 2
kuna kipindi huduma ilisuasua
ila kuanzia mwaka jana katikati mwanzo mwisho inakimbiza hata router walitupa kubwa ya HUAWEI awali tulikuwa tunatumia Mi-fi za ALCATEL

KWA makadilio ya matumizi kwa miezi 3 tangu novemba mpk leo milivoangalia tushatumia zaidibya terabyte 2 za data(2tb)
ambazo tumelipia kama laki 3 na 45 kwa maana ya laki na 15 kwa mwezi
hvyo tunaweza sema tumenunua gb 700 kwa laki tu na 15 kila mwezi
na mm ndio natumia sana 7bu ndio pekee nadownload mafile makubwa makubwa kwa siku 1 naweza downloda hata gb 20 ni movie tu au APPS

hyo ndugu namshauri achukue VODA
ttcl ni kichomi hutakuja kujuta baadae

VODA unlimited ni REALY sio blahblaha

ila tu vigezo mashart kuzingatiwa hapo ndio kipengele
nipe mchongo naipataje hii na installation cost ni sh ngapi
 
Ukiona wameandika up to.... Maana yake ni shared internet which means inapanda na kushuka why ustumie dedicated?? Ambayo ipo stable hata kwa 2 mps utaenjoy saana
dedicated bei yke acha tu
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Cha 50 kina value zaidi, na inategemea na matumizi, kama ni media vitu kama movie, kuangalia mpira, youtube etc. Hutoona utofauti baina ya 12 na 8 sababu 8 tayari inastream Full HD. Kwa Full HD unahitaji 5mbps tu kwenye popular site kama Youtube, Netflix na wengineo hivyo 8 inatosha.

Kuanzia 25mbps ndio unastream 4k.

Pia ukigawanya hapo,
50,000 gawanya 8 ni 6250
80,000 gawanya 12 ni 6666

Hivyo cha 50,000 ni rahisi zaidi kwa Mbps unazopata tofauti na 80,000
Nimeunganisha internet ya TTCL ya Adsl na niliwaambia wanipe package ya 25k ya mb 4 nikamuuliza muunganishaji kwa uhalisia hizo mb 4 zinafika? Akajibu ni 2 au 3. Ila tangu waniungie nadownload kwa idm haijawahi kuvuka kb500. Nimewasiliana nao ila majibu yao eti speed itajiongeza yenyewe. Naogopa kulipia 50k isije ikawa speed ni ileile. Au kama kuna mtaalam wa mambo hayo anipe mwongozo.
 
Duh! Nuksi sana
 
Uko wapi?
 
Idm ni 500 kilobytes na hio wanayosema 4mbps ni 4 megabits.

Byte 1 ni bits 8.

500KB x8 ni approximate 4mbps.

Hivyo speed unayopata ni sawa.

Youtube si unapata 720p fresh?
 
Back
Top Bottom