Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Ttcl ni bora ila hizo price ulizipewa ni zashared package...na shared package ni unlimit package ila wauziwa bandwith na device zinavo obgezeka na speee inapungua so kama mnatumia wengi ni heri uchukue dedicated ambayo inakuwa wote mnapata same speed ata muwe 100
Ukinunua shared maana yake data link moja kampuni yako (ISP) anaunganisha zaidi ya mtu mmoja. Hivyo speed sometimes inachange kutokana na matumizi ya watu mliopo kwenye datalink moja.
Upande wa dedicate ni kuwa mnapewa dedicated data link. Kama ukinunua 10mbps basi itakua ni stable na wala haitashuka. Ila mkianza kutumia ndani kwenye local network yako mnagawana hizo 10 sio kwamba kila pc kwenye local network inapata 10.
Asante