Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Huyo ni wewe, Jumlisha Wife, watoto na member wengine wa familia. Kama umepanga jumlisha na wapangaji wenzako Jengo moja.Daaa; sijawahi kuzidisha 30k kwa mwezi; labda sema nini, nikiwa kazini natumia internet ya mwajiri
Fiber most of time hutumika na mtu zaidi ya mmoja, kama unatumia 30k kwa mwezi inaweza pungua ikawa 10k na ku invest hio 20k kwenye fiber, then na member wengine wawili ama watatu wakafanya hivyo mnavuta fiber mnashare.