TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Nipp binafsi kama home internet.
 
Nimekuelewa ngoja nikusanye data za kipato changu na slip ya Benki ili waelewe naweza kulipa kila mwezi.
 
Nimekuelewa ngoja nikusanye data za kipato changu na slip ya Benki ili waelewe naweza kulipa kila mwezi.
haaa hayo mambo ya slip ya bank sijui na kipato sidhani kama wanahitaji mzee
walivyokuja walitaka tu TIN namba na leseni ya kampuni tu maybe kujiridhisha km mlipa kodi mnzuri
mana first time walivyokuja kututongoza walinikuta mm coz mdada wa reception hawakuelewana mm nikawasikiliza maongezi yao nikaona matamu nikamulewesha boss akaelewa basi wakamalizana wenyewe sasa sijui BOSS alitoa vielelezo gani ila awali waliniambia inahitajika TIN namba na leseni tu
 
kingine ni kuwa ROUTER unapewa bure lakini unalipia mkataba ukiisha unarudishiwa ela yako ya thamani ya ROUTER ulolipia
mwnzo ALICATER Mi-fi tuliilipia laki na 15
hii HUAWEI sijajua BOSS amelipia tshs ngapi ila mkimaliza mtaba km hutaki kuendelea unarudisha ROUTER unapewa kiasi chako chako ulicholipia

hvyo ukiacha kulipa miezi miwili CASH
kuna pesa ya kulipia ROUTER ambayo ukirudisha ROUTER unarudishiwa ela yako
 
That's great info, asee. Nashukuru sana mkuu. Shukuran sana.
 
Ukiona wameandika up to.... Maana yake ni shared internet which means inapanda na kushuka why ustumie dedicated?? Ambayo ipo stable hata kwa 2 mps utaenjoy saana
Nipo mwenyewe.

Dedicated nipe ufafanuzi kama hutajali ili iwe rahisi kunegotiate.
 


Well, mie natumia fiber network ya TTCL na ninalipa 200,000 kwa mwezi kwenye hicho kifurushi cha 100/50 mbps.

Limit ya kifurushi ni 1TB kwa mwezi at maximum speed na kwa kweli huduma ipo very reliable. Ukiwa unatumia unaweza strea 4k contents bila buffering.

based on that, mie napigia chapuo TTCL all the way.

Asante
 
Ahsante sana mkuu kwa maoni yako.

Umenisaidia kutoa tongo tongo.

Naomba kujua wanachaji shiling ngapi kupata vifaa vyao.

Je, speed yao awamu hii ya samia vipi?
Hakuna longo longo?

Natanguliza shukurani.
 
Ahsante sana mkuu kwa maoni yako.

Umenisaidia kutoa tongo tongo.

Naomba kujua wanachaji shiling ngapi kupata vifaa vyao.

Je, speed yao awamu hii ya samia vipi?
Hakuna longo longo?

Natanguliza shukurani.


Speed ni nzuri sana hasa ukizingatia hii fibre ni shared line so hupati 100/50 mbps ila mie by average inakuwa 9-12mbps

Pia gharama zako kwa unaetaka kuunganishwa ni kununua router tu na kufanya cabling ya fiber ambapo unaweza ukaachakana a cabling ukaweka tu wifi router japo nashauri utandaze waya wa fiber maana kwa mtazamo wangu speed yake na connection inakuwa reliable zaidi kuliko kwenye wifi.

Mie nichomeka waya mmoja kwenye tv na ps.

karibu
 
Kufanya cabling ya fiber, ikoje hiyo, ni kuchomeka waya wa tathering, hotspot kwa PC kutoka Router au?
 
Ukifikisha 1TB inakuwaje?
 
Cabling nafikiri unamaanisha zile Ethernet cable sio.

Na hio 12mbps unapata wapi? Wakati wa kudownload? 12x8 ni 96 hapo inamaana 100mbps yako ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…