Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Cha muhimu mkuu itabidi utafute Bomba refu, iwe juu ya ofisi na nyumbani nako iwe juu, ili zionane bila kizuizi.Naona Devices nying zinasema kuwa na Free Barrier sasa naomba kujua je kama kuna nyumba za kawaida sio magorofa alaf nimezifunga kwa distance ya 3km maana nmeona zingne zinaenda mpka 5km je ntaweza kupata internet vizur.
Nataka nifunge Ofisin niwe natumia na nyumban hz bundle za mitandao zimenichosha CHIEF MKWAWA
Pia usisahau zinatakikana ziwe waterproof, maana zinatakutana tu na mvua kivyovyote,
Halafu pia waweza cheki maduka makubwa kibongo bongo kucompare price, mjini mitaa ya kvd kule yapo ya kutosha. Ukipata hapa kwetu itakua rahisi kupewa kitu kutokana na uzoefu wa hali ya hewa yetu.