TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Vifaa vinavyohitajika
1. ODF Module 1pc @
2. Wireless router 1pc @
3. SFP 1pc @
4. Media Converter 1pc @
5. Coupler 1pc @
6. LC pigtail 1pc
7. SC-LC patch cord 1pc @
8. FC-LC patch cord 2pcs @
9. Data cabinate 4U 1pc @

So far vifaa vyote hapo wanavyo except SFP na SC-LC patch cord na router. Data cabinet 4U pia unajinunulia... So gharama ya ziada sidhani kama itazidi 250000

Mkuu ingekuwa wanaruhusu kujinunulia vifaa kutoka kwa supplier wao. Watu mbona tungejiongeza.
 
Huu ndo utaratibu hata me walinambia hivyo, Ila chenga zikaanza. Ndo wakaingiza hizo swaga za kununua router na SFP... Sina namna na huduma nahitaji, nikafungua pochi

Nahisi umeambiwa hivyo kwa sababu ya eneo ulilopo, ungekuwa Town DSM sidhani kama wanagekwambia hivyo.
 
Tatizo hao jamaa hawako serious Mkuu,huwez amini nina karibu mwezi tangu nijaze fomu lakini hata surveyor sijamuona. Hapa nasubiri mpk December nikiona kimya navuta tu supakasi,ni gharama Sana lkn sio wababaishaji km Ttcl. Hili shirika inatakiwa lifumuliwe wafanyakazi wake wamelala sana
Daaah, sasa hili si balaa, au ndo mpaka utoe ela ya nauli?
 
Vifaa vinavyohitajika
1. ODF Module 1pc @
2. Wireless router 1pc @
3. SFP 1pc @
4. Media Converter 1pc @
5. Coupler 1pc @
6. LC pigtail 1pc
7. SC-LC patch cord 1pc @
8. FC-LC patch cord 2pcs @
9. Data cabinate 4U 1pc @

So far vifaa vyote hapo wanavyo except SFP na SC-LC patch cord na router. Data cabinet 4U pia unajinunulia... So gharama ya ziada sidhani kama itazidi 250000
Sorry, kwahiyo jumla ya vifaa vyote ni kiasi gani?
 
Bei ya hivyo vifaa vyote ilikuwa around 600, ila it seems vifaa vyote wanavyo.. So ukikaa vibaya wanakupiga vizuri tu

Kunipiga hapo mwanzoni sio tatizo. Ila pale kwenye kusitisha Huduma ndio nitakaporudisha kofi la kushoto
 
VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi

For more information
Please check me [emoji338]0744355811
 
VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi

For more information
Please check me [emoji338]0744355811
Mkuu mi nahitaji kwa ajili ya kutymia kweny simu yangu na sio ya ofice wala home naomba utaratibu na Vifurushi vyake ni gb ngap kwa ngapi
 
Mkuu mi nahitaji kwa ajili ya kutymia kweny simu yangu na sio ya ofice wala home naomba utaratibu na Vifurushi vyake ni gb ngap kwa ngapi
Kuna

50k unapata 30gb
85k unapata 60gb
120k unapata 100gb

Izi unapata na free MiFi au Router
 
VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi

For more information
Please check me [emoji338]0744355811
Hivyo vifaa user anaweza funga mwenyewe akatumia nyumbani?
 
Ni lazima ulipe kila mwezi... consecutively?
Ukifata vigezo na masharti unapatiwa huduma all times usipolipa hawakati ila deni lnaendelea kusoma lkzd a certain amount unakatiwa huduma
 
VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi

For more information
Please check me [emoji338]0744355811

Mkuu hii huduma contract yake si chini ya Miezi mingapi?
Maana niko nawaza nivute hii kwanza kipindi nawasubiri Nyumbani kumenoga waniletee huduma.
 
Mkuu hii huduma contract yake si chini ya Miezi mingapi?
Maana niko nawaza nivute hii kwanza kipindi nawasubiri Nyumbani kumenoga waniletee huduma.
S chini ya 12 month mkuu Iko vzr sana boss wang
 
S chini ya 12 month mkuu Iko vzr sana boss wang

Naelewa kaka mambo ya Voda. Ila price ndio changamoto. Hapa naitaka lakini kwa muda mfupi niko nawaza nisije nikavuta halafu nikakaa nayo miezi minne nikasitisha huduma nikaambia security fee yangu hairudi haidi nimalizie muda wa mkataba.
 
Back
Top Bottom