Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vifaa vinavyohitajika
1. ODF Module 1pc @
2. Wireless router 1pc @
3. SFP 1pc @
4. Media Converter 1pc @
5. Coupler 1pc @
6. LC pigtail 1pc
7. SC-LC patch cord 1pc @
8. FC-LC patch cord 2pcs @
9. Data cabinate 4U 1pc @
So far vifaa vyote hapo wanavyo except SFP na SC-LC patch cord na router. Data cabinet 4U pia unajinunulia... So gharama ya ziada sidhani kama itazidi 250000
Huu ndo utaratibu hata me walinambia hivyo, Ila chenga zikaanza. Ndo wakaingiza hizo swaga za kununua router na SFP... Sina namna na huduma nahitaji, nikafungua pochi
Daaah, sasa hili si balaa, au ndo mpaka utoe ela ya nauli?Tatizo hao jamaa hawako serious Mkuu,huwez amini nina karibu mwezi tangu nijaze fomu lakini hata surveyor sijamuona. Hapa nasubiri mpk December nikiona kimya navuta tu supakasi,ni gharama Sana lkn sio wababaishaji km Ttcl. Hili shirika inatakiwa lifumuliwe wafanyakazi wake wamelala sana
Voda kwa speed na network naona wapo vizuri, tatizo ni gharama zao tu.Am talking about supakasi internet boss wang toka Vodacom Io ya Ttcl sjajua bado
Sorry, kwahiyo jumla ya vifaa vyote ni kiasi gani?Vifaa vinavyohitajika
1. ODF Module 1pc @
2. Wireless router 1pc @
3. SFP 1pc @
4. Media Converter 1pc @
5. Coupler 1pc @
6. LC pigtail 1pc
7. SC-LC patch cord 1pc @
8. FC-LC patch cord 2pcs @
9. Data cabinate 4U 1pc @
So far vifaa vyote hapo wanavyo except SFP na SC-LC patch cord na router. Data cabinet 4U pia unajinunulia... So gharama ya ziada sidhani kama itazidi 250000
Bei ya hivyo vifaa vyote ilikuwa around 600, ila it seems vifaa vyote wanavyo.. So ukikaa vibaya wanakupiga vizuri tuSorry, kwahiyo jumla ya vifaa vyote ni kiasi gani?
Bei ya hivyo vifaa vyote ilikuwa around 600, ila it seems vifaa vyote wanavyo.. So ukikaa vibaya wanakupiga vizuri tu
Mkuu mi nahitaji kwa ajili ya kutymia kweny simu yangu na sio ya ofice wala home naomba utaratibu na Vifurushi vyake ni gb ngap kwa ngapiVODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE
Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi
Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi
For more information
Please check me [emoji338]0744355811
KunaMkuu mi nahitaji kwa ajili ya kutymia kweny simu yangu na sio ya ofice wala home naomba utaratibu na Vifurushi vyake ni gb ngap kwa ngapi
Unaenda kusajili line TTCl shop ..wanakeambia mtandao unasumbuwa njoo wiki ijayo.. mtaani freelancer/agent nao hawana line za Ttcl... walionazo wanauza bei juu
Bei ya hivyo vifaa vyote ilikuwa around 600, ila it seems vifaa vyote wanavyo.. So ukikaa vibaya wanakupiga vizuri tu
Hivyo vifaa user anaweza funga mwenyewe akatumia nyumbani?VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE
Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi
Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi
For more information
Please check me [emoji338]0744355811
Engineer anakuja kukufungia nyumban kwako boss ukatumia internet in term of WiFiHivyo vifaa user anaweza funga mwenyewe akatumia nyumbani?
Ni lazima ulipe kila mwezi... consecutively?Engineer anakuja kukufungia nyumban kwako boss ukatumia internet in term of WiFi
Ukifata vigezo na masharti unapatiwa huduma all times usipolipa hawakati ila deni lnaendelea kusoma lkzd a certain amount unakatiwa hudumaNi lazima ulipe kila mwezi... consecutively?
VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE
Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi
Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi
For more information
Please check me [emoji338]0744355811
S chini ya 12 month mkuu Iko vzr sana boss wangMkuu hii huduma contract yake si chini ya Miezi mingapi?
Maana niko nawaza nivute hii kwanza kipindi nawasubiri Nyumbani kumenoga waniletee huduma.
S chini ya 12 month mkuu Iko vzr sana boss wang