TTCL hawana uwezo au ni hujuma kwa taifa na wananchi wa Tanzania?

TTCL hawana uwezo au ni hujuma kwa taifa na wananchi wa Tanzania?

robbyr

Senior Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
129
Reaction score
221
Tupo kwenye ulimwengu wa kasi kwa kila kitu ila TTCL kwenye huduma ya Internet wamelala au kukosa ubunifu.

Mimi nimzaliwa wa Kilimanjaro na mtanzania ila jambo la mtando limekuwa kero sana kwenye baadhi ya vijiji vilipo chini ya mlima Kilimanjaro. Ukiangalia kwa sasa juu ya mlima huo mtandao wa TTCL unatoa huduma nzuri na za bei nafuu lakini kwenye vijiji vyake haishiki kabisa

Je, wameshindwa nini kwenye vijijini vilivyopo chini ya mlima huu kuwa na mtandao?

Tutafika lini kama taifa?
 
Back
Top Bottom