Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Kwani ni vibaya kutoa gawio?Wazee wa kutoa gawio. Hapo hapo wanaomba hela ya kuwekeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ni vibaya kutoa gawio?Wazee wa kutoa gawio. Hapo hapo wanaomba hela ya kuwekeza
Ebu nipe njia mtakazo tumia..maana mimi kama muazaji wa reja reja inanisikitisha.....kuona voucher tuu n shida kupatikana kwa huwakika.Vocha zitaanza kupatikana kila kona ya nchi kuanzia Oktoba mosi
Sawa ndugu mteja.TTCL tunawaomba mfanye biashara kiushindani
Mbona hilo linaboreshwa soon, kuanzia Oktoba mosi utafurahi.
Usijali mkuu, nitawasilisha maoni yako kwa uongozi.Issue siyo vifurushi tu.
TTCL wamekosa ubunifu wa kuingia kwenye soko. Wanaweza kuwa na bidhaa bora na nafuu lakini kama hawana ubunifu wa kuingia na bidhaa zao sokoni siioni kama watakuwa na mabadiliko.