TTCL hoi kwenye soko la mawasiliano nchini

TTCL hoi kwenye soko la mawasiliano nchini

Hapa chini ni takwimu zilizotolewa na TCRA kuhusiana na mgawanyo wa soko miongoni mwa makampuni mbalimbali ya mawasiliano hapa nchini.

Wasiwasi ambao Watanzania wengi tunapaswa kuwa nao kutokana na takwimu hizi ni uwezekano kwa serikali hii kuzi "Fastjet"-isha Vodacom, Tigo, Airtel, nk ili TTCL ibaki peke yake kwenye soko.

Just like how Fastjet was made extinct in favour of ATCL.

Now a sobering question to you wananchi.... when you have a state-owned communication network as the sole provider, can anyone envision the plight of information sharing (internet, social media, etc) in the country in the near future, with October 2020 beckoning on the horizon?

View attachment 1294654
Wazee wa kutoa gawio. Hapo hapo wanaomba hela ya kuwekeza
 
Wala hilo lisikushangaze Mkuu. Ila mimi nilinong'ona tu sikupaza sauti ila kwa sababu umeisikia nitakuuliza kijiswali ili twende sambamba; hivi kwani mbia mwenye hisa kubwa TTCL ni nani? Je usimamizi mkuu ama ruzuku hutoka wapi? Ukipata jawabu hapo utafahamu hoja yangu ilipo.
Kwa nyongeza "kwa nini TTCL yenye miundombinu kila kona ya nchi hii ishindwe kutandaa ilhali hao walioanza juzi 1998+ wameenea kila kona ya nchi? Je kwanini washindani (wateja wa ttcl) wanaosambaza mkongo wa taifa kwa wateja wao gharama zao ni chini na vifurushi vyao vina kasi kuliko msambazaji mama? Kwa mfano; ukitazama ukubwa wa njia wanayotumia ttcl kwenda kwa wateja ukafananisha na vijikampuni vingine waweza amini ukubwa ule unamaanisha ubora wa huduma lakini wapi ni changamoto tupu!! Ipo haja ya ttcl kujitathmini na kujiamini vinginevyo haitatofautiana na mashirika mengine ya umma yaliyokufa au yanayochechemea.
Sawa, jibu ni serikali ya Tanzania
 
Sawa, jibu ni serikali ya Tanzania
Mkuu wanajinadi wenyewe Serikali ya CCM tusiwalishe maneno!!
Tukirudi kwenye mada "TTCL wamepoteza ubunifu na woga wa kujaribu vitu vigumu vyenye tija! Laiti wangekuwa makini ushauri mwingi wenye tija waliowahi kupewa ungewavusha na katika hili sioni haya kuwaambia WAKASOME KWA HALOTEL ambayo ni kampuni changa kabisa hapa nchini
 
TTCL kwenye data bundle ni majanga , mpak uwe mjin kati ndo mtandao unakuwa speed , ukizunguka uwani tu no network , labda kwenye bundle za dk wanajitahd .....huenda Kwa sababu hawana coverage nzur
Juzi nilichukua laini ya TTCL , Ila sa hv nimeifungia kwenye kabati....
Sure.. network ya ttcl iko low sana.. na haisomi baadhi ya maeneo hapa dar.. inasoma 4G ukiwa posta na kariakoo... Ukitoka nje ya hapo ni majanga.. Hata H haisomi.. wabadilike..
 
Sure.. network ya ttcl iko low sana.. na haisomi baadhi ya maeneo hapa dar.. inasoma 4G ukiwa posta na kariakoo... Ukitoka nje ya hapo ni majanga.. Hata H haisomi.. wabadilike..
Taja eneo unalopatikana ili urekebishiwe network.
Mbona mimi niliwaambia nipo Buza wakarekebisha na napata network vizuri kabisa.
 
Ni rahisi kuliteka soko la simu kwa hapa Tanzania kama gharama zikiwa fair na kutokuwa na wizi wa kijingakijinga sababu huu ni udhaifu mkubwa wa makampuni ya simu
 
Mkuu wanajinadi wenyewe Serikali ya CCM tusiwalishe maneno!!
Tukirudi kwenye mada "TTCL wamepoteza ubunifu na woga wa kujaribu vitu vigumu vyenye tija! Laiti wangekuwa makini ushauri mwingi wenye tija waliowahi kupewa ungewavusha na katika hili sioni haya kuwaambia WAKASOME KWA HALOTEL ambayo ni kampuni changa kabisa hapa nchini
Kwahiyo unawashaurije mkuu?
Vipi kuhusu maoni na ushauri wako?
 
Hapa chini ni takwimu zilizotolewa na TCRA kuhusiana na mgawanyo wa soko miongoni mwa makampuni mbalimbali ya mawasiliano hapa nchini.

Wasiwasi ambao Watanzania wengi tunapaswa kuwa nao kutokana na takwimu hizi ni uwezekano kwa serikali hii kuzi "Fastjet"-isha Vodacom, Tigo, Airtel, nk ili TTCL ibaki peke yake kwenye soko.

Just like how Fastjet was made extinct in favour of ATCL.

Now a sobering question to you wananchi.... when you have a state-owned communication network as the sole provider, can anyone envision the plight of information sharing (internet, social media, etc) in the country in the near future, with October 2020 beckoning on the horizon?

View attachment 1294654
TTCL NI MAREHEMU ANAYEBEBWA
 
TTCL iko vizuri mkuu, hiyo internet unayotumia kupost hapa iwe ni unatumia Vodacom, tigo, smart, Zantel au airtel jua tiari ushawalipa TTCL, unapoona wanatoa gawio usidhani ni hadithi.

Tunafuata data, Sasa wewe wahoji Tcra
 
Back
Top Bottom